Kwanini Simba ikae nafasi ya pili badala ya Azam?

Rafiki yangu kipenzi.
Mleta hoja ana hoja sana.
Ukweli ni kwamba alipaswa awe namba tatu sio kwa ubora bali kimtiririko wa herufi na asingepungukiwa na kitu
Sawa rafiki..kila mtu na kanuni yake..basi wawashushe tuu Simba ikae hapo namba 3...ili wana Uto wawe na amani..
 
Sawa rafiki..kila mtu na kanuni yake..basi wawashushe tuu Simba ikae hapo namba 3...ili wana Uto wawe na amani..
Mpira unaendeshwa kwa kanuni na sheria zake wala si kuwafurahisha Simba kama wafanyavyo TFF.
 
Sawa rafiki..kila mtu na kanuni yake..basi wawashushe tuu Simba ikae hapo namba 3...ili wana Uto wawe na amani..
Hiyo sio sababu mama kipenzi.

Hoja kuu ni tff na taasisi nyingi nchini wanazibeba Yanga na simba kitu ambacho kinaua mpira
 
Dah! hii kanuni mpya
 
Hiyo sio sababu mama kipenzi.

Hoja kuu ni tff na taasisi nyingi nchini wanazibeba Yanga na simba kitu ambacho kinaua mpira
Sasa kwani hata wakikaa hapo kuna tofauti gani? Kama point ni zile zile...nadhani mmeshaelezewa huko why Simba wapo hapo...nadhani ina mantiki hyo hoja ya huyo mtoa hoja baba kipenzi...
 
Majamaa yamesha zoea kubebwa, Yame bebwa supa league na sasa zinakuja kanuni za kishtobe na majamaa yalivyo ma mbumbumbu yana kenua meno.
 
Badala ya kujibu kwa hoja unakuja kukata mauno,sema basi kilichoangaliwa,kama unajua halafu unashambulia bila fact we ni mwehu tu kama wehu wengine
Endelea kukata mauno siku zote wanaangalia herufi za mwanzo iweje Simba?
 
1.Simba kashinda goli nyingi ugenini

2. Simba ajafungwa nyumbani ata goli moja.

3. Azam kafungwa nyumbani kwake.

4.simba alianza kufikisha hizo point kabla hata ya azam.

5. Azam hajalalamika hili ila cha ajabu mwiko nyuma ndo wanalalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…