Kwanini Simba ikae nafasi ya pili badala ya Azam?

Kwanini Simba ikae nafasi ya pili badala ya Azam?

Hio kanuni ya kua wa kwanza mmeitoa wapi? Mfano ingekua mwisho wa ligi mechi zote zichezwe mda mmoja itokee hio kitu itahesabika vipi?
 
Mmh maajabu hayatakuja kuisha, hizi akili huwa ni zenu kabisa au mnaazimwa?
Mimi na wewe nani ana akili za kuazima,yaani wewe una akili za nguruwe kweli unaongea tu bila kufanya utafiti
FB_IMG_1695405514123.jpg
 
Tatizo hao lambalamba unaweza ukawapandisha hapo juu afu kesho tu wakakupa tabu ya kuwashusha. Bora wakae hapohapo wasitusumbue.
 
Rafiki yangu kipenzi.
Mleta hoja ana hoja sana.
Ukweli ni kwamba alipaswa awe namba tatu sio kwa ubora bali kimtiririko wa herufi na asingepungukiwa na kitu
Yote kheri
 
Back
Top Bottom