ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Mimi na wewe nani ana akili za kuazima,yaani wewe una akili za nguruwe kweli unaongea tu bila kufanya utafitiMmh maajabu hayatakuja kuisha, hizi akili huwa ni zenu kabisa au mnaazimwa?
Utachoka kubishana na watu wasiofuatilia mamboSawa rafiki..kila mtu na kanuni yake..basi wawashushe tuu Simba ikae hapo namba 3...ili wana Uto wawe na amani..
Soma siyo unajibu kwa hisia zako tuHiyo sio sababu mama kipenzi.
Hoja kuu ni tff na taasisi nyingi nchini wanazibeba Yanga na simba kitu ambacho kinaua mpira
Jibu ni rahisi tu
Simba imecheza saa kumi Azam kacheza saa moja
Yote kheriRafiki yangu kipenzi.
Mleta hoja ana hoja sana.
Ukweli ni kwamba alipaswa awe namba tatu sio kwa ubora bali kimtiririko wa herufi na asingepungukiwa na kitu
Mmeshawekewa hapo juuHapa kweli kuna tatizo. Na kama kuna mtu atapinga, basi anatakiwa atuwekee na kanuni za kututhibitishia.
Tumewekewa nini?Mmeshawekewa hapo juu
Kwani ww ulitaka nini kwny comment yako jirani..Tumewekewa nin
Bado sijashawishika eti.Kwani ww ulitaka nini kwny comment yako jirani..
Mbebwe na nyieMajamaa yamesha zoea kubebwa, Yame bebwa supa league na sasa zinakuja kanuni za kishtobe na majamaa yalivyo ma mbumbumbu yana kenua meno.
Kuna binadamu hawalali kisa Simba!!Ipeleke ya 3 ili uwe na amani....naona toka jana hamjalala...waambie wawadrop Simba hapo namba 3..
Hii ndiyo sababu na Iko hivyo kote duniani.Aliyepata wa kwanza hupewa yeyeAliyeanza kufikisha point 9 ni Simba.
Mbumbumbu wwAliyeanza kufikisha point 9 ni Simba.