Kwanini Simba wamechukia sana baada ya kusikia Yanga atashiriki kwenye super cup

Kwanini Simba wamechukia sana baada ya kusikia Yanga atashiriki kwenye super cup

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Nimeona kuna chuki na makasiriko ya hali ya juu sana kwa wanasimba kuona timu mabingwa wa nchi mara nyingi zaidi yao wanashiriki ligi ya super cup.... haya makasiriko ni vp tena 😂😂
 
Sasa hao si watani mkuu, hapo watashindwa kuwatania, wala hakuna la ziada mkuu
 
Utopolo mtaacha lini kuanzisha nyuzi zinazozidi kuthibitisha kauli ya Haji Manara kuwa nyie ni hamnazo?
 
Nimeona kuna chuki na makasiriko ya hali ya juu sana kwa wanasimba kuona timu mabingwa wa nchi mara nyingi zaidi yao wanashiriki ligi ya super cup.... haya makasiriko ni vp tena 😂😂
Wamesikia wapi huu udaku wako na wamekasirikia wapi? Aliyewaroga nyie ameshakufa
 
Nimeona kuna chuki na makasiriko ya hali ya juu sana kwa wanasimba kuona timu mabingwa wa nchi mara nyingi zaidi yao wanashiriki ligi ya super cup.... haya makasiriko ni vp tena [emoji23][emoji23]
Ndio utani wa jadi ulivyo
 
Sasa hao si watani mkuu, hapo watashindwa kuwatania, wala hakuna la ziada mkuu
Kuna utani ni CHUKI, Yanga wana utani, Simba wao wanachojua ni CHUKI. Most of Simba Fans are stupid.

Kitu cha kawaida wao huingiza chuki, sasa Yanga wamesema hawana tena huo utani wa jadi wawapo uwanjani ni Kichapo mwanzo mwisho, maana hakuna haja ya utani ikiwa watu wanachukia vitu vidogo.

Jmosi KICHAPO kingine mpaka akili ziwakae sawa mbwa hawa.
 
Back
Top Bottom