cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Sasa kwann ulie?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna utani ni CHUKI, Yanga wana utani, Simba wao wanachojua ni CHUKI. Most of Simba Fans are stupid.
Kitu cha kawaida wao huingiza chuki, sasa Yanga wamesema hawana tena huo utani wa jadi wawapo uwanjani ni Kichapo mwanzo mwisho, maana hakuna haja ya utani ikiwa watu wanachukia vitu vidogo.
Jmosi KICHAPO kingine mpaka akili ziwakae sawa mbwa hawa.
Relaaaaaxxxxxx!!!