sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mpaka nikukamue manyonyo ππKalale sasa
Toa utopolo wako hapaNimeona kuna chuki na makasiriko ya hali ya juu sana kwa wanasimba kuona timu mabingwa wa nchi mara nyingi zaidi yao wanashiriki ligi ya super cup.... haya makasiriko ni vp tena [emoji23][emoji23]
Halafu yangu yapo chiniMpaka nikukamue manyonyo ππ
Manyonyoooo ππ na tunawanyonyoa upya jumamosi,,,,bumbavuuu!!Toa utopolo wako hapa
Yani utopolo wanahangaika kweli na hbr zao za uongo jmn. Hapo roho zinawauma na kuwakereketaUtopolo mtaacha lini kuanzisha nyuzi zinazozidi kuthibitisha kauli ya Haji Manara kuwa nyie ni hamnazo?
Wamesikia wapi huu udaku wako na wamekasirikia wapi? Aliyewaroga nyie ameshakufaNimeona kuna chuki na makasiriko ya hali ya juu sana kwa wanasimba kuona timu mabingwa wa nchi mara nyingi zaidi yao wanashiriki ligi ya super cup.... haya makasiriko ni vp tena ππ
Ya ndondo cupSuper cup ipi mnayoenda?
Ndio utani wa jadi ulivyoNimeona kuna chuki na makasiriko ya hali ya juu sana kwa wanasimba kuona timu mabingwa wa nchi mara nyingi zaidi yao wanashiriki ligi ya super cup.... haya makasiriko ni vp tena [emoji23][emoji23]
Kuna utani ni CHUKI, Yanga wana utani, Simba wao wanachojua ni CHUKI. Most of Simba Fans are stupid.Sasa hao si watani mkuu, hapo watashindwa kuwatania, wala hakuna la ziada mkuu