Kwanini Simba wamechukia sana baada ya kusikia Yanga atashiriki kwenye super cup

Sasa kwann ulie?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Relaaaaaxxxxxx!!!
 
Kwani hawa Simba weak vipi[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji782][emoji782][emoji782][emoji780][emoji780]
 
Nimeona kuna chuki na makasiriko ya hali ya juu sana kwa wanasimba kuona timu mabingwa wa nchi mara nyingi zaidi yao wanashiriki ligi ya super cup.... haya makasiriko ni vp tena 😂😂
Thibitisha kama uto mtashiriki, pia thibitisha hayo makasiriko ya Simba. Mnajitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe kama machangudoa wanapokuwa kwenye mawindo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…