Kwanini Simba wamesherehekea mno kuifunga Yanga?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Nilibebwa kwa kupokezana kutosha shule ya Msingi hadi nyumbani kwetu kilomita 5 nikiwa darasa la nne. Wanafunzi wa kutoka mtaani kwetu walinibeba kama shukurani na pongezi kwa kumpiga jiwe la usoni mwanafunzi mgomvi sana na mwenye nguvu wa darasa la saba B aitwae Mathayo hadi akazirai.

Huyu alikuwa ni mwanafunzi ambae kila siku tukitoka shuleni alikuwa anatusubiri njiani kutupiga bila sababu ya maana. Alikuwa akitunyang'anya kila kitu chetu hadi ikalazimika wazazi wetu kutufuata shuleni kuturudisha nyumbani kwa usalama wetu. Tangu siku hiyo mathayo akaacha tabia yake ile.

Simba waliingia uwanjani kupigana na Mathayo wao (Yanga). Waliingia kama wanyonge na walioapizwa kuhakikisha kuwa mathayo anakufa kwa njia yoyote ile maana wamechoka kuonewa na Yanga.

Simba kuifunga yanga haiondoi ukweli kwamba Yanga ni bora kuliko Simba, ni kama vile walifunga kwa bahati mbaya kwa kutumia jiwe (goli la mapema lililotokana na adhabu ambayo haikuwa adhabu) na kuzirai moja kwa moja. Ukweli huu mtauona siku yanga ikikutana na Simba tena kwenye mashindano ya FA. lilikuwa jiwe tu sio ngumi wala teke.

Wachambuzi wetu wamepata pa kushikia baada ya kuinamishwa vichwa vyao kwa muda mrefu sana na yanga. Ni heri mkaendelea kusema Simba ni mbovu badala ya kuijaza kichwa kwa kuifunga yanga ki mchongo ili iendelee kukiboresha kikosi chake.
 
Kuna wakati unajikuta tu umeshasoma post kutoka kwa mtu mpumbavu. Mpumbavu wa Moira, asiyejua anaongea Nini.

Ila Nina mashaka na unachotumia kufikiri si kichwa.

Utopoloni wenye maarifa Ni wawili tu!
 
ndio ukweli wenyewe, Simba sio bora kuliko Yanga, ni chance tu ilitokea, hata mashabiki wa simba walishangaa sana kupitiliza kuona kile kilichotokea. yaani ni sawa na Man city kufungwa na Fulham
 
Nilimsikia lofa mmoja mchambuzi akisema Singida ataiachia Yanga iwafunge ili yanga wawe bingwa, akichagizwa na Singida kumtoa Metacha kwenda yanga kama kigezo chake. Nilimshangaa hakushangaa na wala hakusema kwa Coastal Union kumtoa kocha wake pekee kwenda Simba. Yaana Metacha kwenda Yanga sio sawa lakini Mgunda kwenda simba ilikuwa sawa. Uchambuzi wa aina hii unanajisi soka letu. Hasemi yanga ni bora kuliko Singida badala yake anasema Singida itaiachia Yanga ichukue ubingwa.
 
ndio ukweli wenyewe, Simba sio bora kuliko Yanga, ni chance tu ilitokea, hata mashabiki wa simba walishangaa sana kupitiliza kuona kile kilichotokea. yaani ni sawa na Man city kufungwa na Fulham
Takwimu zinakataa kabisaa labda kama hutaki kutumia akili. CAF ranking mpo chini, mnashiriki shirikisho wakati Simba yupo champions hatua zinazofanana. Je ubora wa yanga ni upi? Kama unatumia kigezo cha kuongoza NBC basi ukapimwe akili.
 
Muulize aliyejamba baada ya kushindiliwa na Kibu D atakupa jibu
IMG-20230418-WA0010.jpg
 
Nilibebwa kwa kupokezana kutosha shule ya Msingi hadi nyumbani kwetu kilomita 5 nikiwa darasa la nne. Wanafunzi wa kutoka mtaani kwetu walinibeba kama shukurani na pongezi kwa kumpiga jiwe la usoni mwanafunzi mgomvi sana na mwenye nguvu wa darasa la saba B aitwae Mathayo hadi akazirai.
Nasemaje Sisi tunashangilia tu, tumewakandamiza Endelea na uchambuzi uchawara
 
Takwimu zinakataa kabisaa labda kama hutaki kutumia akili. CAF ranking mpo chini, mnashiriki shirikisho wakati Simba yupo champions hatua zinazofanana. Je ubora wa yanga ni upi? Kama unatumia kigezo cha kuongoza NBC basi ukapimwe akili.
Kosa walilolifanya Simba ni kutowafunga 5.Hizi kelele zilizobaki zingekoma.Kocha Nabi amechanganyikiwa.
Kiboko yake yupo alipotajiwa akaweweseka na kumtaja Mourinho.
 
Nilibebwa kwa kupokezana kutosha shule ya Msingi hadi nyumbani kwetu kilomita 5 nikiwa darasa la nne. Wanafunzi wa kutoka mtaani kwetu walinibeba kama shukurani na pongezi kwa kumpiga jiwe la usoni mwanafunzi mgomvi sana na mwenye nguvu wa darasa la saba B aitwae Mathayo hadi akazirai.

Huyu alikuwa ni mwanafunzi ambae kila siku tukitoka shuleni alikuwa anatusubiri njiani kutupiga bila sababu ya maana. Alikuwa akitunyang'anya kila kitu chetu hadi ikalazimika wazazi wetu kutufuata shuleni kuturudisha nyumbani kwa usalama wetu. Tangu siku hiyo mathayo akaacha tabia yake ile.

Simba waliingia uwanjani kupigana na Mathayo wao (Yanga). Waliingia kama wanyonge na walioapizwa kuhakikisha kuwa mathayo anakufa kwa njia yoyote ile maana wamechoka kuonewa na Yanga.

Simba kuifunga yanga haiondoi ukweli kwamba Yanga ni bora kuliko Simba, ni kama vile walifunga kwa bahati mbaya kwa kutumia jiwe (goli la mapema lililotokana na adhabu ambayo haikuwa adhabu) na kuzirai moja kwa moja. Ukweli huu mtauona siku yanga ikikutana na Simba tena kwenye mashindano ya FA. lilikuwa jiwe tu sio ngumi wala teke.

Wachambuzi wetu wamepata pa kushikia baada ya kuinamishwa vichwa vyao kwa muda mrefu sana na yanga. Ni heri mkaendelea kusema Simba ni mbovu badala ya kuijaza kichwa kwa kuifunga yanga ki mchongo ili iendelee kukiboresha kikosi chake.
Mnajustukia tu.

Mliwarubuni mashabiki wenu kuwa Simba ni ndogo kumbe mmeyakanyaga!
Watu wamekufa kwa sababu ya vile vi njiti viwili sijui kwa nini waliviini

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Takwimu zinakataa kabisaa labda kama hutaki kutumia akili. CAF ranking mpo chini, mnashiriki shirikisho wakati Simba yupo champions hatua zinazofanana. Je ubora wa yanga ni upi? Kama unatumia kigezo cha kuongoza NBC basi ukapimwe akili.
Kwani Simba ameipataje nafasi ya kushiri champions, alikuwa bigwa wa nini msimu uliopita? Simba imeshuka viwango, hata kufika hapo alipo alipangiwa uchochoro wa big bullets, de agosto, kisha Vipers vibonde kwenye mashindano.
 
Back
Top Bottom