Mkuu T2015CCM huo mchanganyiko hauchoshi sana mwili? Je, dawa za minyoo nakunywa zote mbili yaani zentel na yomesan kwa wakati mmoja? Halafu nachojua dawa ya flagyl ni dawa ya siku 5 na nakunywa mara tatu kwa siku, je, na dawa za minyoo nakunywa kwa mpangilio huohuo au zenyewe ni mara moja kwa siku?Tiba sahihi ya kutibu amoeba ni hii.
tumia kwa pamoja dawa hizi
1.dawa ya minyoo ie zentel au vumtrex
2.Antibiotic = DOXCYCILLIN
3.FLAGYL
4.ARITHROMYCIN
5.PANADOL
6.VITAMIN B
7.YOMESAN...........HAIPATIKANI ILA DUKA MOJA TU HAPA MJINI LA WAHINDI LINAITWA SHAMSUDIN PHARMACY LIPO POSTA ULIZA KUANZIA JMO, INGIA KATI APO MTAA WA SAMORA/UPANGA KARIBU NA MSIKITI MMOJA WA WAHINDI (muslim hindus)
kwann utumie hizi dawa kwa pamoja??????
1.Amoeba anaishi ndani ya minyoo so unatibu mzizi wa tatizo sio matokeo ie carrier. au unaua mama.
2.Yomesan inatibu hookworm kwa kuua kichwa chake badala ya kiwiliwili.kumbuka huwa wanakatika kichwa kinabaki na kuji form upya.
3.flagyl na erithromizin ndio tiba sahihi ya amoeba mwenyewe
4.antibiotic ni kwa ajili ya combination/ various bacterias/minyoo/askaris etc incl magonjwa ya zinaa au nyemelezi
5.vitamin b kukuletea hamu ya chakula.
Mkuu T2015CCM huo mchanganyiko hauchoshi sana mwili? Je, dawa za minyoo nakunywa zote mbili yaani zentel na yomesan kwa wakati mmoja? Halafu nachojua dawa ya flagyl ni dawa ya siku 5 na nakunywa mara tatu kwa siku, je, na dawa za minyoo nakunywa kwa mpangilio huohuo au zenyewe ni mara moja kwa siku?
mkuu hiyo zentel ni trade name ya albendazole ambayo umeshaitumia. Hawa ni wale wanaofanya polypharmacy bila kuangalia side effects kwa mgonjwa. Mixing doxycycline na azithromycin? For amoeba?
Mkuu Munyangaa, na mimi nina tatizo kama la Dumelambegu. Nachoomba kujua hapa kuhusu maelezo yako ni je, nakunywa dawa zote hizo 5 kwa mpigo? Kwa upande wa dawa za minyoo na amoeba, mbona umetaja dawa za aina 2 yaani zentel na yomesan za minyoo na flagyl na azithromycin za amoeba. Je, nachagua moja miongoni mwa hizo mbili au nakunywa zote?
mkuu unajua maisha ya amoeba vizuri? Huyu ni mdudu mdogo ambaye anaishi ndani ya mdudu mwenzake. Na anabadilika kutokana na mazingira. Ndio maana tuna meza abenda kwa ajili ya minyoo ambayo amiba anaishi ndani yake. Kwa maana ingine tunaua wadudu wote hao kwa pamoja.wewe huumwi ndio mana hujui mateso tupatayo wagonjwa na kwa taarifa yako madaktari wetu hapa ni wababaishaji ikija suala la magonjwa ya tumbo.ukimwelezea anakupa dawa za kuondoa gesimkuu hiyo zentel ni trade name ya albendazole ambayo umeshaitumia. Hawa ni wale wanaofanya polypharmacy bila kuangalia side effects kwa mgonjwa. Mixing doxycycline na azithromycin? For amoeba?
Mkuu T2015CCM huo mchanganyiko hauchoshi sana mwili? Je, dawa za minyoo nakunywa zote mbili yaani zentel na yomesan kwa wakati mmoja? Halafu nachojua dawa ya flagyl ni dawa ya siku 5 na nakunywa mara tatu kwa siku, je, na dawa za minyoo nakunywa kwa mpangilio huohuo au zenyewe ni mara moja kwa siku?
Mkuu, tutajaribu kutumia maelezo yako na kurudi na ushuhuda hapa jamvini.yomesan inatibu minyoo aina ya hookworm, zentel nayo ni ya minyoo lakini haitibu hookworm effectively bt inatibu baadhi ya minyoo..... Flagyl na azithromin zote zinatibu amiba but amiba ina stages so tumia zote. Pia flagil ina gesi so azithro inafungua....
minyoo ndio inayobeba amiba ie amiba anaishi ndani ya minyoo..
Mkuu Munyanga, hii kwangu ni elimu mpya kwamba mdudu amoeba anaishi ndani ya minyoo!!!!! Au ndiyo uhusiano wenyewe unaoulizwa hapa kati ya minyoo ya askaris na amoeba? Ebu wadau wa afya watujuze zaidi hapa ili nami ni-draw conclusion.
Mkuu, tutajaribu kutumia maelezo yako na kurudi na ushuhuda hapa jamvini.
Mkuu Munyanga, hii kwangu ni elimu mpya kwamba mdudu amoeba anaishi ndani ya minyoo!!!!! Au ndiyo uhusiano wenyewe unaoulizwa hapa kati ya minyoo ya askaris na amoeba? Ebu wadau wa afya watujuze zaidi hapa ili nami ni-draw conclusion.
google amoeba utajua mengi mkuu pia flagyl origin na nzuri zinauzwa osterbay phamarcy uliza osterbay hotel, iko kama unaenda coco beachMkuu Munyanga, hii kwangu ni elimu mpya kwamba mdudu amoeba anaishi ndani ya minyoo!!!!! Au ndiyo uhusiano wenyewe unaoulizwa hapa kati ya minyoo ya askaris na amoeba? Ebu wadau wa afya watujuze zaidi hapa ili nami ni-draw conclusion.
Mkuu Munyangaa, na mimi nina tatizo kama la Dumelambegu. Nachoomba kujua hapa kuhusu maelezo yako ni je, nakunywa dawa zote hizo 5 kwa mpigo? Kwa upande wa dawa za minyoo na amoeba, mbona umetaja dawa za aina 2 yaani zentel na yomesan za minyoo na flagyl na azithromycin za amoeba. Je, nachagua moja miongoni mwa hizo mbili au nakunywa zote?
Mkuu Munyangaa, na mimi nina tatizo kama la Dumelambegu. Nachoomba kujua hapa kuhusu maelezo yako ni je, nakunywa dawa zote hizo 5 kwa mpigo? Kwa upande wa dawa za minyoo na amoeba, mbona umetaja dawa za aina 2 yaani zentel na yomesan za minyoo na flagyl na azithromycin za amoeba. Je, nachagua moja miongoni mwa hizo mbili au nakunywa zote?
Duu, inamaana kuna flygyl zingine ni fake!! Hii dunia ni kwishney!google amoeba utajua mengi mkuu pia flagyl origin na nzuri zinauzwa osterbay phamarcy uliza osterbay hotel, iko kama unaenda coco beach