Kwanini siponi Amoeba? Je, kuna uhusiano gani kati ya Amoeba na Minyoo ya Ascaris?

Kama hujawahi kutibiwa Hindu Mandal, DSM nenda pale kuna Dr. anaitwa Muya, ni mzuri sana. Atakuandikia vipimo utapimwa na hakika utapona. Ni wa tabu sana kupatikana ila ukienda unaweza kumwona akupe appointment.
 
Amoeba wanaisha kwa urahisi tu. Usiku kabla hujalala chukua kahawa iliyosagwa vijiko viwili (Table spoon) na asali vijiko vine. Changanya kwenye glass na ufunikie. Asubuhi ukiamka kula huo mchanganyiko kabla hujasukutua au kuweka chochote mdomoni. Usile kitu hadi saa tisa mchana. Halafu kunywa kauji bila maziwa. Jioni kula dinner yako kama kawaida. Hao amoeba utawasahau kabisa kwani hii inatoa hadi nyumba yeke.
 
Mkuu kupona kabisa amoeba tumia kwa pamoja dawa zifuatazo. 1. Dawa/ dozi za minyoo - zentel 2.antibiotic - doxycycillin, 3.dozi ya amoeba flagyl 4. Dozi ya amoeba azithromycin. 5.dawa ya minyoo inaitwa yomesan inapatikana shamshudin phamarcy, teremka akiba d,i.t nenda moja kwa moja morogoro road km unaenda posta uliza apolo dispensary uliza hiyo phamacy.. Unaweza pia kutumia panadol na vitamin b. Kumbuka tumia dawa hizi kwa pamoja
 
Mkuu Munyangaa, na mimi nina tatizo kama la Dumelambegu. Nachoomba kujua hapa kuhusu maelezo yako ni je, nakunywa dawa zote hizo 5 kwa mpigo? Kwa upande wa dawa za minyoo na amoeba, mbona umetaja dawa za aina 2 yaani zentel na yomesan za minyoo na flagyl na azithromycin za amoeba. Je, nachagua moja miongoni mwa hizo mbili au nakunywa zote?
 
Tiba sahihi ya kutibu amoeba ni hii.

tumia kwa pamoja dawa hizi

1.dawa ya minyoo ie zentel au vumtrex
2.Antibiotic = DOXCYCILLIN
3.FLAGYL
4.ARITHROMYCIN
5.PANADOL
6.VITAMIN B
7.YOMESAN...........HAIPATIKANI ILA DUKA MOJA TU HAPA MJINI LA WAHINDI LINAITWA SHAMSUDIN PHARMACY LIPO POSTA ULIZA KUANZIA JMO, INGIA KATI APO MTAA WA SAMORA/UPANGA KARIBU NA MSIKITI MMOJA WA WAHINDI (muslim hindus)

kwann utumie hizi dawa kwa pamoja??????

1.Amoeba anaishi ndani ya minyoo so unatibu mzizi wa tatizo sio matokeo ie carrier. au unaua mama.

2.Yomesan inatibu hookworm kwa kuua kichwa chake badala ya kiwiliwili.kumbuka huwa wanakatika kichwa kinabaki na kuji form upya.
3.flagyl na erithromizin ndio tiba sahihi ya amoeba mwenyewe
4.antibiotic ni kwa ajili ya combination/ various bacterias/minyoo/askaris etc incl magonjwa ya zinaa au nyemelezi
5.vitamin b kukuletea hamu ya chakula.
Mkuu T2015CCM huo mchanganyiko hauchoshi sana mwili? Je, dawa za minyoo nakunywa zote mbili yaani zentel na yomesan kwa wakati mmoja? Halafu nachojua dawa ya flagyl ni dawa ya siku 5 na nakunywa mara tatu kwa siku, je, na dawa za minyoo nakunywa kwa mpangilio huohuo au zenyewe ni mara moja kwa siku?
 
mkuu hiyo zentel ni trade name ya albendazole ambayo umeshaitumia. Hawa ni wale wanaofanya polypharmacy bila kuangalia side effects kwa mgonjwa. Mixing doxycycline na azithromycin? For amoeba?
 
Kwa hiyo mix haifai? Hapa jf mgonjwa asipoangalia anaweza akaondoka na mchanganyiko dawa utakaosababisha bomu la nyuklia.
 
Mkuu Munyangaa, na mimi nina tatizo kama la Dumelambegu. Nachoomba kujua hapa kuhusu maelezo yako ni je, nakunywa dawa zote hizo 5 kwa mpigo? Kwa upande wa dawa za minyoo na amoeba, mbona umetaja dawa za aina 2 yaani zentel na yomesan za minyoo na flagyl na azithromycin za amoeba. Je, nachagua moja miongoni mwa hizo mbili au nakunywa zote?

yomesan inatibu minyoo aina ya hookworm, zentel nayo ni ya minyoo lakini haitibu hookworm effectively bt inatibu baadhi ya minyoo..... Flagyl na azithromin zote zinatibu amiba but amiba ina stages so tumia zote. Pia flagil ina gesi so azithro inafungua....
 
mkuu hiyo zentel ni trade name ya albendazole ambayo umeshaitumia. Hawa ni wale wanaofanya polypharmacy bila kuangalia side effects kwa mgonjwa. Mixing doxycycline na azithromycin? For amoeba?
mkuu unajua maisha ya amoeba vizuri? Huyu ni mdudu mdogo ambaye anaishi ndani ya mdudu mwenzake. Na anabadilika kutokana na mazingira. Ndio maana tuna meza abenda kwa ajili ya minyoo ambayo amiba anaishi ndani yake. Kwa maana ingine tunaua wadudu wote hao kwa pamoja.wewe huumwi ndio mana hujui mateso tupatayo wagonjwa na kwa taarifa yako madaktari wetu hapa ni wababaishaji ikija suala la magonjwa ya tumbo.ukimwelezea anakupa dawa za kuondoa gesi
 
Mkuu T2015CCM huo mchanganyiko hauchoshi sana mwili? Je, dawa za minyoo nakunywa zote mbili yaani zentel na yomesan kwa wakati mmoja? Halafu nachojua dawa ya flagyl ni dawa ya siku 5 na nakunywa mara tatu kwa siku, je, na dawa za minyoo nakunywa kwa mpangilio huohuo au zenyewe ni mara moja kwa siku?

minyoo ndio inayobeba amiba ie amiba anaishi ndani ya minyoo. Zentel ni siku moja tu haina shida hata ukitumia pamoja. Yomesan ni maalum kwa ajili ya hookworm. Kwa kweli zinachosha sana ndo mana unashauriwa utumie panadol na vitamin b ili uweze kupata ham ya kula.
 
yomesan inatibu minyoo aina ya hookworm, zentel nayo ni ya minyoo lakini haitibu hookworm effectively bt inatibu baadhi ya minyoo..... Flagyl na azithromin zote zinatibu amiba but amiba ina stages so tumia zote. Pia flagil ina gesi so azithro inafungua....
Mkuu, tutajaribu kutumia maelezo yako na kurudi na ushuhuda hapa jamvini.
 
minyoo ndio inayobeba amiba ie amiba anaishi ndani ya minyoo..

Mkuu Munyanga, hii kwangu ni elimu mpya kwamba mdudu amoeba anaishi ndani ya minyoo!!!!! Au ndiyo uhusiano wenyewe unaoulizwa hapa kati ya minyoo ya askaris na amoeba? Ebu wadau wa afya watujuze zaidi hapa ili nami ni-draw conclusion.
 
pole sana kaka. Nakushauri utumie mbegu za papai. Chukua papai lililoiva vizuri osha vzr menya toa mbegu zake changanya na maji nusu kikombe zisage kwenye blenda kama unayo then chukua kijiko kimoja kikubwa cha mbegu ulizosaga kunywa . Dozi ni kijiko kimoja kimoja mara tatu kwa wiki moja. Kama huna blenda unaweza kuzitafuna hivyo hivyo. Ni dawa nzuri sana inaponyesha amoeba. Pole sana.
 
Mkuu Munyanga, hii kwangu ni elimu mpya kwamba mdudu amoeba anaishi ndani ya minyoo!!!!! Au ndiyo uhusiano wenyewe unaoulizwa hapa kati ya minyoo ya askaris na amoeba? Ebu wadau wa afya watujuze zaidi hapa ili nami ni-draw conclusion.

google amoeba angalia their life,wanaishi hadi kwenye wadudu wa thyphoid. Wakati unapiga hii dozi tumia na ant acid
 
Mkuu Munyanga, hii kwangu ni elimu mpya kwamba mdudu amoeba anaishi ndani ya minyoo!!!!! Au ndiyo uhusiano wenyewe unaoulizwa hapa kati ya minyoo ya askaris na amoeba? Ebu wadau wa afya watujuze zaidi hapa ili nami ni-draw conclusion.
google amoeba utajua mengi mkuu pia flagyl origin na nzuri zinauzwa osterbay phamarcy uliza osterbay hotel, iko kama unaenda coco beach
 
Mkuu Munyangaa, na mimi nina tatizo kama la Dumelambegu. Nachoomba kujua hapa kuhusu maelezo yako ni je, nakunywa dawa zote hizo 5 kwa mpigo? Kwa upande wa dawa za minyoo na amoeba, mbona umetaja dawa za aina 2 yaani zentel na yomesan za minyoo na flagyl na azithromycin za amoeba. Je, nachagua moja miongoni mwa hizo mbili au nakunywa zote?

kwa kuwa amiba inaambatana na gesi nyingi tumboni, tumia ant acid/ acid blocker ili dawa ziwe effective
 
Mkuu Munyangaa, na mimi nina tatizo kama la Dumelambegu. Nachoomba kujua hapa kuhusu maelezo yako ni je, nakunywa dawa zote hizo 5 kwa mpigo? Kwa upande wa dawa za minyoo na amoeba, mbona umetaja dawa za aina 2 yaani zentel na yomesan za minyoo na flagyl na azithromycin za amoeba. Je, nachagua moja miongoni mwa hizo mbili au nakunywa zote?

tumia zote bila kusahau ant acid
 
mungu amesema kila ugonjwa una dawa yake. hata hili litakwisha
 
Back
Top Bottom