"Religion is the opium of poor people" said by Carl Max
Mndumi oru
mi naona hata huko ulaya na marekani tangia waachane na mungu mambo yao yanaenda ovyo...wakati walioanza kumpokea mungu juzi juzi kama china (inatabiriwa kuja kuwa na waumini wengi wa kikristo kuliko nchi yoyote) mambo yao safi...putin karudisha kanisa urusi coincidentally influence ya russia imeanza kurudi and he is named the most powerful man in the world....ulaya imebaki historia na ujerumani tu..
Tutajitetea sana na issue ya bara la africa, nitanue mjadara, nchi kama Haiti, Jamaica n.k hazipo bara la Africa lakini kwanini nazo ni masikini!? Well hata huko Marekani, maeneo yanayokaliwa na Waafrika na yenyewe ni masikini, Zimbabwe (ipo Afrika) ilipofukuza wazungu tu, njaa na shida mbalimbali zikagusa nchi hiyo? Kuna nini na sisi Waafrika!?
hapo umedanganya umma kaka! kiufupi comment yako umedanganya
Jibu unalo katika sentensi yako ya kwanza kabisa.
Mungu.
Kuamini mungu ndiko kunatufanya tuwe masikini. Wakati wenzetu wamemtumia mungu kwa sababu zao za kisiasa na ili kutajirika, sisi tunaamini kweli kweli.
Of course ukiamini mungu unaamini katika msaada na kuomba, ukiamini katika msaada na kuomba huwezi kutajirika.
Mhhhh sio kweli
Ni human nature, sisi binadamu ni mammalian tupo group moja na mbwa,nimechagua mbwa mfano uwe rahisi, mbwa wapo wa aina tofauti kuna Wakali,wenye akili, waoga na wengine akili hamna,
unachoweza fanya ni kuwachanganya wale waoga na akilindogo na wale mbwa wakali na akili hivyo wata adapt zile tabia, lakini hiyo haiwaondolei nature yao ya uoga hiyo ni dog nature,nature ipo tu
na binadamu ni hivyohivyo hatufanani kuanzia physical appearance mpaka internally, angalia mzungu,mhindi,muafrika,mchina nakadhalka hatufanani why? na hai ishii hapo Kwenye appearance tu mpaka internally thinking capacity zina differ ,human nature hiyo
na ushaidi upo wazi tu angalia kila mtu ana territory yake, sasa angalia kila mmoja anachokifanya jibu unalo, hiyo ndio thinking capacity ya hao watu na ndio human nature ni ukweli mchungu ,
mwanasayansi robert Watson anasema namnukuu, sisi wazungu tunafanya makosa makubwa tunapokaa na mwafrika na ku discuss matatizo ya dunia yetu tukiamini akili zetu na zao ziko sawa. mimi nimemuelewa sijui wenzangu
Sasa inakuwaje waafrika wengine wanaweza kufanya vizuri?
Una uelewa wa kiasi gani kuhisu masuala ya genetics na baiolojia ya binadamu?
Unaweza kujadili kisayansi na sio kiushabiki?
Ndio maana nilitoa mfano wa mbwa iwe rahisi,waafrika wanaofanya vizuri ni wale wanao adopt Kama nilivyosema kwenye mbwa lakini nature yake ipo tu,
Sina uelewa wowote kuhusu genetic na baiologia ya binadamu zaidi ya logic tu, na ndio maana niliuliza why binadamu tunatofautiana hata kwa rangi na miili physical appearance, kwanini kuna black people, white people wengine black eye, blue, brown hizi tofauti zote haziwezi kuwa useless au urembo tu,na nikaogezea kwamba hii inaenda mpaka ndani kwenye ubongo, thinking capacity hatuko sawa na mfano nikatoa angalia hao binadamu kila mmoja anavyoishi katika mazingira yake huo ndio mfano hai ,hii ni logic tu,sasa Kama wewe unauelewa wa genetic na baiologia basi tueleze inakuwaje, hakuna ushabiki hapo jombaa!
Kisayansi Siwezi kujadili mimi sio mwanasayansi wewe Kama una facts shusha tu tutaenda sawa
Umeandika kwamba huna uelewa wowote kuhusu genetics na baiolojia ya binadamu.
Then acha kuandika vitu usivyoelewa.
Ukifuata logic tu unaweza kubishana na watu wanaosema dunia ni mviringo kwa sababu kwa mujibu wa logic yako fupi kibaraza chako kinaonekana kiko flat.
Wewe unasema huna uelewa wowote kuhusu genetics na baiolojia ya binadamu halafu unataka ku judge akiki za watu jwa kuangalia rangi ya ngozi?
Wewe unayepima akiki za watu kwa kuangaloa rangibya ngozi bila kukia chochote kuhusu baiolojia au genetics una akili kweli?
Mtu akisoma nilicho andika mimi na hiki ulicho andika wewe ni wewe ndio huna akili, jibu hoja mimi hoja yangu ipo hapo ubaoni tena kwa zalau nimekwambia hiyo ni logic tu,nikisubili hayo ma genetics yako nione kumbe huna cha genetic wala nini,hawa watu wote waliopost humu wanajua genetics ?wewe shusha hizo genetics zako tuone, umepewa logic tu ushapoteza mwelekeo, Kama huwezi kujadili hapa fungua thread yako Waite wenzako mliosoma genetics mjadili genetics zenu kenge we!