Kwanini sisi Waafrika ni Masikini?


hapana mkuu...we are all poor...hao matajiri unaowasema wamefanya nn cha maana katika bara hili??sisi ni masikini wa kila kitu kuanzia kifedha,kiakili,kasoro rasilimali
 
Umeandika hujui genetics wala baiolojia, halafu unataka kujadili akili ya binadamu kwa kuangalia rangi ya ngozi tu, siyo?

Sikutegemea ungejibu kistarabu hivyo umerudi kwenye Mstari! okeey! sasa bwana mkubwa ni hivii,humu watu wanajadiliana, hakuna mtu anaejua kila kitu hivyo wewe unaejua genetics unawaelezea wadau hapa jamani hii issue ipo hivi na hivi,hakuna ligi hapa kwamba anatafutwa bingwa nop ni majadiliano umeona! haya sasa bwana mkubwa chondechonde tuelezee hayo magenetics inakuwaje, kumbuka ni majadiliano sio ligi ahsante
 

Ushasema hujui baiolojia wala genetics, sina hata pa kuanzia. Naweza kuanza kwa kukuuliza race ni nini, myu mweupe no mani na mweusi ni nani, lakini nitakuwa kama nakuonea tu, kwa sababu ushasema hujui baioloijia wala genetics.

Halafu kutaka mie uliyeniita kenge nikufundishe wewe kutakufanya wewe uwe nani?

Mjusi au guluguja?
 

Hii ndio shida yako, humu hakuna shule, halafu unaamini wewe ndio mwalimu wa jf,na usijipe ujiko kusema nimekwambia unifundishe, nimeshakwambia humu ni majadiliano na hakuna shule humu watu humu wanaandika uongo,umbea, ukweli nakadhalka ni juu ya msomaji mwenyewe kuchuja ukweli na uongo,kwa hiyo kumbe ukiandika unaona unawapa watu shule, wee kweli kenge! watu wanashule zao humu kaka, wewe hujistukii tu lakini ni mshamba ,minajua mtu ana andika magenetics kumbe unaona jf ni shule kwa hiyo lectural tukulipe , eti sijui hata pa kuanzia anzia mkndn kwako,shwain!
 

Ushasema huna unachojua kuhusu baiolojia wala genetics, unaendekeza umbeya na unazi.

Endelea. Kwa hivyo utanishinda.
 
ulianza vizuri ila hayo matusi hapo mwisho yamedhihirisha ni jinsi gani ulivyo mvivu wa kumeza dawa zako za kichaa na una bahati mamoderator wamerudisha simu walizoazima kwa wenyenazo
 
umasikini unasabishwa na watu wavivu wa kufikiri kama wewe watu ambao wanauliza maswali ambayo majibu yao yameganda vichwani mwao sasa kama unaambiwa kwamba kuna divides unachobisha ni nn au bangi.........
 
Mbona unajibu kwa lugha isiyo ya kiistarabu ilihali mwenzio kakujibu kiistarabu kabisa. Jaribu kutumia reasonable language and always try to be wise when you argue.
Remember tuna mitazamo tofauti so you should keep that in your mind.
 

mkuu achana nae huyo keshaanza kutoa povu.
Mimi nimekuelewa kabisa na ninakubaliana na wakuu wengine. Mimi nimiongoni mwa wanaotatizwa na swali hili, lakini nimegundua kuwa tuna tatizo katika mbongo zetu. Our thinking capacity is very low and infact we're poorly organised.
 

mkuu maafa gani tena?
Mbona huku kuna ebola, ukimwi, malaria, kipindupindi, na majanga mengi ambayo kimsingi yanaua watu wengi saana.
Kuna haja ya kulifikiria hili kwa mapana zaidi na si kuhusianisha umaskini wetu na Mungu,
 
Ushasema huna unachojua kuhusu baiolojia wala genetics, unaendekeza umbeya na unazi.

Endelea. Kwa hivyo utanishinda.

Nikwambie Mara ngapi hakuna ligi humu ni majadiliano,yaani wewe ukiandika humu kumbe unashindana, umeona ushamba wako sasa badilika lectural wa jf.
 


yah, hii ni mojawapo ya sababu kubwa sana ktk umaskin wetu. Wazungu walitutawala na wanaendelea kututawala kisaikolojia {Mind colonisation} ili tuendelee kujiona si lolote wala si chochote mbele yao na KUZALISHA HIKI KINACHOITWA INFERIORITY COMPLEX TO WHITES.

Lakin wapo wachache {waafrika} ambao sasa wanajitambua na kufanya kwel ktk maendeleo yao; mf DANGOTE,ISABEL DOS SANTOSI, MENGI n.k.
 

ungetumia kiswahili labda ungeeleweka vizuri.
 
Kwangu sisi waafrika ni maskini kwasababu ya umaskini wetu...wa fikra? Hatujui tunatoka wapi tunaenda wapi na tunataka nini hii yote ni sababu ya umaskini wa fikra inshort hatujitambui...ukitaka kuaamini angalia mfano serikali yetu ya Tanzania ipo ipo tu viongozi wapo wapo tu...
 

#minuz hata mimi naamini kama wewe wenzetu wanaakili kutuzidi umaskini wake mwaafrika ni kwasababu ya umaskini wake wa fikra ukitaka kupima fikra ya mtu angalia anachofanya iangalie Tanzania halafu itupie jicho ITALIA utajua tuu...


Sasa issue ni kwamba kama umaskini wetu wa fikra ndio unafanya tuwe maskini tutafanyaje tuongeze fikra zetu? ?????
 

ndio huo mfano wa mbwa lazima kujichanganya na walio endelea, kwa maana nyingine tunatakiwa ku copy and paste yale yote mazuri ya wenzetu waliyo yafanya wakaendelea,

na usifikili viongozi wetu hawalijui hili wanajua,wana copy vitu vingi tu, akisimama jukwaani kunadi sera unakubali yes sera nzuri, tatizo linarudi palepale nature, mtu akishapata uongozi tu zile sera zote nzuri alizozinadi anatia kapuni,

sasa anafanya kile kichwa chake kinavyomtuma, ambayo in nature vichwa vyetu ni vibovu thinking capacity ni ndogo, hivyo tegemea madudu tu hapo,

nikupe mfano mdogo tu, Kama kweli tunahitaji maendeleo kwa nini tusi copy katiba ya China? just copy and paste,hakuna ghalama zozote hapo,zaidi ya labda amendment ndogo ndogo ,

watu wanapoteza pesa eti bunge la katiba halafu wanatoka na matakataka, umeona vichwa vilivyo vibovu sisi kwa nature yetu hatuna jipya hata hiyo sayansi ya kuruka na ungo tumeshindwa kui expose Kama kweli ipo
 

Kucopy pia inahitaji akili mkuu..unaweza kucopy ila ukakosa akili ya kupaste nahisi inahitajika jitihada za msingi kuwaandaa watoto still wakiwa wadogo maana sisi wakubwa tumeshaharibika ikiwa ni pamoja na kubadilisha mfumo wa elimu kuanzia ngazi za chini...ukisema tucopy----
Wamecopy BRN hakuna cha msingi....
Ivi hakuna vipimo vya kisayansi vilivyowahi kufanyika kupima ubongo wa saharan compare na wa wenzetu? ?
 
mithali 10:15


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…