Kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii, tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine?

Kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii, tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine?

UKWELI MCHUNGU

Ukwel uko wazi ni kuwa ukitaka kuelezea asili ya mtu/mwanadamu kuna theory za kisayansi na kiiimani znazojarbu kueleza asili hiyo pamoja na mgawanyiko wa races dunian.

hao viumbe wa rangi zngne yaan wanadamu weupe hawatak ukwel ujulkane ni kuhusu asili ORIGINAL ya maisha ya dunia.

Duni hii ina historia ndefu sana ambayo imeanza tangu zamani sana, kwahiyo hata maisha yalianza zamani sana kabla hata ya hizo dini na theory za uongo hazijaanza.

Mwanzo kabisa kiumbe wa kwanza alikuwa ni Mtu na mtu mwenyewe alikuwa mweus na aliishi ktk bara moja(kabla ya mgawanyiko wa mabara)

Mabara hayo yoote yalkuwa yameungana na afrika, mtu huyo kiumbe aliumbwa kuendana na nature ya mazingira kwa ngozi na DNA yamtu mweusi ili aweze kuishi bila mateso kwa kuvumilia shida za joto,na maradhi mbalimbali.

Baada ya ongezeko la watu dunian, kuliibuka jamii ya Alien tokea mbinguni(fallen Angeles) hawa ndio walishuka na kubadiri maumbo yao kwa tamaa zao ili waonekane kama watu, na baadae walifanikiwa kuanza kuzaa na wanawake weusi ambapo baadae ikachipuka races ya viumbe wa kisasa ama machotara ambao walkuwa na Nusu DNA za mtu mweus na hao alien(malaika).

Mionekano yao na rangi zao zilibeba asili ya laana ya hao wageni tokea anga za juu, ambapo ndyo hao waitwao nephilims ama metis ambao nao walianza kuzaana wao kwa wao na kuleta jamii hiz tuzionazo leo.

Ukwel huu hawapend ujulkane, kumbuka kipind icho dunia ilikuwa sehem yenye ardhi ya bara moja.

Sasa hao wanefil ama unaweza waita wanadamu, lkn sio watu, mtu ni yule mwenye DNA original na mweusi tuu, sasa hao wanadamu kwakuwa Hawakuwa na utu, walianzisha maovu mengi sana, ikiwepo ushoga,usagaji, kuabudu mashetan na vurugu za kila aina, ambapo baadae ndpo kultokea tetemeko lililopelekea mgawanyiko wa mabara,

Na hao watu weupe walikuwa na nia ya kutokomeza kizaz cha mtu mweusi tangu zamani kupitia vita na utumwa, ambapo baadae baada ya falme za wanadamu(watu weupe) kukuwa, walkuwa wakiivami afrika ili kuitetekeza na kuiba mali za afrika.

Hawakuweza kufaulu kwa muda mfupi, mpka pale falme kubwa za afrika kama misri ya watu weusi, ethiopia/kushi, Babilon ama east afrika na wazulu na wa sudan walipokosa nguvu kwa kushindwa kuhimili vita namapigano yaliyodumu kwa miaka mingi na kupelekea afrika kutawalika.

Mnachotakiwa kujuwa ni kuwa afrika ilianza kuvamiwa hata kabla ya hizo historia zenu znavyowadanganya kuwa wakolon walkuja ktk karne ya 14 huo ni uongo.

Maana ktk karne ya14 tyr afrika ilkuwa imeshabomolea miji yake yoote ambayo ilikuwa mikubwa kulko jiji lolote ulijualo ktk kipind cha leo, technologies zilizokuwepo zlkuwa zmeshachakachuliwa sana mpka kufikia karne ya 14, hapa ndiomaana hata historia zenu za uongo znasema wakolon waliikuta afrika ikiwa na watu wakaa uchi na wanaoshinda maporini wasiojua lolote, hiyo ni kwel sababu jamii nyingi zlitawanyila na kukimbia vita il kujikinga na kifo, hiyo ikapelekea hata maendeleo ya kuijenga afria kufa.

Afrika imefanikiwa kutawalika baada ya falme zote kuharibiwa sana na kila kitu kubadilishwa na hapo ndipo ushetan ukaingia ambao ndyo hizo elimu,dini na utandawazi unao waharibu waafrika kila siku.

Ukoloni,vita,njaa na magonjwa hayawez kuisha mpka pale kizazi cha mtu mweupe kipotee chote ama watu weusi dunia nzima watakapoungana na kuifanya afrika kuwa moja na ndipo Ule mwisho utakapo kuja.

Mwisho wa dunia ni kwel upo na hauwezi kuja mpka mwafrika atakapofanikiwa kuijua asili yake na kuurudisha ukuu wake, apo ndipo hata MUUMBA wa kwel ataruhusu mapigo yawashukie hawa wanefili na watesi wetu ambao hushirikiana na baazi ya weusi wenzetu kutuhujumu.

Tafuteni sana elimu, dunia si salama, mtu mweupe si ndugu yako.View attachment 2057050
nadharia zako hazina mashiko ama ushahidi kabisa, mfano kunambia eti aliens ndo fallen angels sijui wanefili mmmh ngumu kumeza
 
Wakuu marry chrismass.

Nimekaa nimewaza na kufikiri naona kama kuna kitu hakiko sawa kuhusu sisi waafrica.

kitu cha kwanza ni kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii,
tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine, mfano ulaya ni weupe,asia ni weupe,australia ni weupe,america kaskazini na kusini ni weupe (isipokuwa black americans tu ambao nao pia wanatokana na mababu zetu waliopelekwa utumwani kule).
so najiuliza kwanini only africans are the black people ? Kwa majujibu wa takwimu za population, dunia mpaka sasa ina watu bilion 7.8, na africa pekee ina watu bilion 1.3 tukijumlisha na yale masalia ya america na carribean labda tunakuwa 1.4 au 1.5 billion ndo watu pekee weusi duniani, maana ake kati ya watu bilion 7.8 weusi ni 1.5 bilion pekee,wengine wote wanaobaki ni weupe, kwanini yani weupe mbona wengi sana, je imekuwaje weusi wakawa wachache alafu wametengewa bara lao, maana mabara yote 6 yenye watu matano ni weupe isipokuwa bara moja tu la africa ndo weusi tii why mbona sipati majibu sahihi ? Sijichukii kwa sababu mimi mweusi ila najiuliza tu kwanini waafrica pekee ndo weusi ? Alafu pia wakawa wachache kuliko weupe ? Kuna laana gani ilipita hapa ebu nambieni wadau.

Kitu cha pili, kwanini sisi watu weusi tunaonekana tuko nyuma kwa karibu kila kitu, kuanzia ustaarabu watuletea watu weupe, teknolojia nyingi zimetoka kwao (asilimia karibu 90 ya kila tunachotumia waafrica kilianza kwanza kugunduliwa na mweupe), kwanini mweusi akawa nyuma sana ? Kuna laana gani hapa ? Kwanini sifa ya mwafrica ni ya umaskini na ujinga tu why this ? Walitutawala kwa karne karibu 4, wakatutumikisha kwenye ardhi yetu wenyewe na kutufanya watumwa na sisi tukakubaliana na hali, why only africans we became very stupid ? Mbona sisi hatukuanza kuwatawala ila wao weupe wakaanza ? Tuna rasimali kibao ila tumeshindwa kuzitumia zituboreshee maisha badala yake bado tumkabidhi mtu mweupe, kwanini sisi watu weusi tuna nini ebu nipeni majibu !

Cha mwisho, kwanini ngozi nyeusi inabaguliwa (racisim) na kuonekana duni, nadhani tunashuhudia wenzetu walioko ng'ambo jinsi wanavyobaguliwa na kuitwa nyani, ina maana sisi weusi duniani tulikuja bahati mbaya au ni vipi yani !...niki mnukuu mwarabu moja mweupe pale libya ambaye aliwateka waafrica wakiwa wanatorokea ulaya kupitia mediterania aliwaambia hivi "mnaenda wapi nyie watu weusi kutoka kuzimu watumwa mliolaaniwa ninyi"....unaweza kuona ni jinsi gani sisi watu weusi tunavyochukuliwa na watu weupe, sasa kwanini sisi waafrica tukaumbwa weusi (rangi ya kudharaulika,duni) alafu tukawa wachache na bado haitoshi tukapewa bara la peke yetu weusi (bara la africa) wakati weupe wao wakaumbwa wengi alafu wakasambazwa kwenye mabara matano tofauti na pia wakapewa upeo wa uelewa kuliko sisi ? Au ni kweli mungu alitulaani nini sisi weusi ? Au sisi weusi ni uzao wa shetani kama wanavoamini baadhi ya weupe ?

Nb : sijaudharau uafrica wangu ila najiuliza tu kwanini mweusi anadharauliwa na kudunishwa wakati mweupe yupo mbele yetu kwa karibu kila kitu?

Weusi kwa Waafrika ni ishara ya utukufu na nguvu ya uumbaji. Jiografia ya uumbaji wa binadamu ipo hadi Dunia itakapoisha.

Kudharauliwa kwetu ni sababu ya uoga kwa Weupe ili nasi tujidharau na ikiwezekana tushindwe kujitawala au kufikirisha uwezo wetu mkubwa wa maarifa uliojificha.

Brainwashing inayotumia ubaguzi wa rangi iliyoletwa karne ya 15-20 ndio Leo hii Waafrika wenzetu wanaitumia kutukuza Weupe na kuwadharau Waafrika wenzao.
 
Ni hivi ukiona binadamu mwenye ngozi nyeusi popote duniani nje ya bara la afrika jua huyo kizazi chake kilitokea afrika.Kama ambavyo unaona warabu wa kaskazini mwa afrika walivyotokea eneo la mashariki ya kati.Waafrika wote duniani nyumbani kwao ni afrika.uko kwingine walienda tu kwasababu mbalimbali hasa utumwa.ila uko walikoenda kulikua pia na binadamu wa maeneo hayo.Kwahiyo huyo anayekwambia wayahudi walikua weusi ni mwongo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
huwa wananukuu kauli ya rais wa zamani wa misri aliyeitwa GAMAL ABEID NASSER, huyu jamaa kipindi vita ya waarabu na wayahudi imepamba moto aliwaambia wayahudi kuwa "hamtokaa hapa (israel) kwa amani kwa sababu mliondoka hapa mkiwa weusi mmerudi mkiwa weupe" kwa hiyo huenda hii ni ashara kwamba wayahudi asilia walikuwa weusi.
 
Ndivyo

Ilivyo
 
mkuu kuna kitu hapa ndo naanza kukiskia kwako kwa mara ya kwanza kwamba "hata sisi tumewahi kuwatawala ila ilifichwa kwa kuogopa aibu" je ni kweli ulisemalo ? waweza nambia labda ni kipindi gani ama karne gani tuliwahi kuwatawala wazungu ?
Kipindi cha Utawala wa Mfalme Nebuchadnezzar.
 
Soma Kitabu cha Nabii Enok
kuna mahali kwenye biblia kweli nimewahi kusoma nikakutana na neno "wanefili" na tasiri yake wameandika pale pale kabisa kuwa ni "majitu" au kwa lugha rahisi naweza kusema ni majini labda.

Na pia iko wazi hasa kwa upande wa wenzetu waislam kuwa duniani kabla ya kuishi sisi wanadamu walikuwa wakiishi majini, na mungu aliwaumba majin hao kwa lengo la kumwabudu yeye (mungu) ila badae inaonekana majini walizingua wakawa wanaenda kunyume na mungu ikabidi mungu amtume malaika wake akawaangamize akaenda akaawangamiza wote ispokuwa mmoja tu ambae alikuwa ndo amezaliwa (alikuwa mdogo sana hajui hili wa lile au chochote kuhusu dhambi), akahurumiwa akabebwa na huyo malaika mpaka kwa mungu mbinguni na akafanywa kuwa miongoni mwa malaika, ingawa cdae alikuja kuasi na inasemekana jini huyo ndo shetani wa leo (lusifa).

Nb : hii ni nadharia inaweza na uimara wake na madhaifu yake pia
 
mambo mengine hua mnayakuza bure tu, binadam kama walivyo viumbe wengine wapo aina tofauti tofauti, mfano kuna simba aina zaidi ya moja, kuna mbwa aina tofauti, paka aina tofauti, kunguru aina tofaut, kuku aina tofauti, na nk... viumbe wote wana madaraja tofauti kulingana na nature ya uumbwaji wao.

wewe mwenyewe mleta mada haupo daraja sawa na wanafamilia wenzako, inshort haiwezekani kushindani na nature.
 
Maendeleo yote ya sayansi, tiba, hesabu, sanaa, utawala, unajimu(Astronomy)dini nk duniani yameanzishwa na mtu mweusi. Sehemu mtumbwi wa kale duniani, na ufuaji chuma wa kale duniani vinapatikana Africa.

Na hiyo rangi nyeusi ni rangi bora kwenye mazingira yake.
 
wewe ndo zero brain kabisa,kuuliza kitu nisicho kielewa ni kujidhalilisha utu ? Qumamae kabisa we

Nenda kamuulize aliyekupa rangi nyeusi ya ngozi na sio rangi nyeupe ya hao Bwana zako unaowahusudu.

Ungeumbwa funza wa chooni anayekula kinyesi ingekuwa bora kwani usingeuliza such nonsense of yours.

Unauliza upumbavu wa kujidhalilisha halafu unajiona eti nawewe umeuliza!!?
 
Rangi ya mwafrika inatokana na mazingira ukandaa tunaoishi ni wajua kali so melalinin inablock uv ili isiharibu seli za ngozi ili tusipate kansa,
kuwa nyuma kimaendeleo hii naiweka katika sehemu mbili kwanza vurumai la ukoloni/utumwa(dini za kigeni) la pili ni sisi waafrika kutotaka kuendelea na misingi yetu ya maisha kuvurugwa mfano hatu mfumo wa kupata viongozi sahihi viongozi wetu ni kama sio washamba wa wazungu/non-african basi wanawatumikia wazungu/non-african.

nimalize kwa kusema , iamini sayansi uokoke
Kwamba ukandaa tunaoishi ni wajua kali ndomana tunakuwa weusi siyo kweli. Vipi kuhusu ndugu zetu weusi wanaoishi ughaibuni, mbona nao bado wanazaa watoto weusi na ukanda ule siyo wa joto kali!!??
 
Kwamba ukandaa tunaoishi ni wajua kali ndomana tunakuwa weusi siyo kweli. Vipi kuhusu ndugu zetu weusi wanaoishi ughaibuni, mbona nao bado wanazaa watoto weusi na ukanda ule siyo wa joto kali!!??

Nashindwa kukuelezea maana naona hata evolution huelewi. Wazungu walikua wazungu takriban miaka 12000 iliyopita, kuna post yangu hapo juu nimeeleze kuhusu evolution na natural selection.

Kwani unajua gene gani inafanya rangi ya ngozi na je unajua hiyo rangi ya ngozi kazi yake ni nini kwanini ni nyeusi. Kwanini binadamu hafanyi mabadiliko ya mwili haraka kuliko viumbe wote kwasababu sisi tunakitu kinaitwa collective learning.

Ndio imekufanya wewe sasa hivi ujenge nyumba ya tofali na sikukaa mtini au pangoni. Kuna vitu vingi naweza elezea kuhusu collective learning na human evolution na natural selection ila haitotosha naomba ukajisomee vitabu vipo vingi utapata mwanga
 
Mimi wa kwanza!
Ngoja nijaliwa kwa uelewa wangu.
Mbongo {African}siyo mweusi tu bali yeyote anaweza kuwa muafika.
Kuhusu rangi nyeusi isikupe shida ni Nature yenyewe ikumbukwe hili bara linapata jua kamili hivyo kuwa weusi nikwasababu ya ngozi iweze kuhimili miale mibaya ya jua {mawazo yangu}
Halafu bara letu ni zuri kuliko huko unakokusifia sisi hatuna mavimbunga sijui yakutisha, masunami,matetemeko,mavolcano hata kama yapo lakini siyo kama wao.
Pia kuhusu kutawaliwa na weupe ni sawa hii inaitwa kutesa kwa zamu hata sisi tulishawahi kuwatawala ila sema ilifichwa na hao hao kuogopa aibu,
Kuna mtu alikuwa anaitwa Malkia wa Sheba,kuna hawa jamaa Mafarau wa misri,inasemekana walikuwa weusi kabisa na hii ijulikana kupitia ugunduzi wa ile miili kufukuliwa kwenye makabuli huko Cairo na kukuta jamaa ni weusi tii.
Ngoja waje wataalam wakupe mkuu.
Misri, Libya, Tunisia, Morocco, Madagascar huko kote na kwingine wengi ni White je sio Africa!?
 
Huwez umiza kichwa kwa mambo magumu lkn utaumiza kichwa kwa mambo yakipuuzi yasiyo na maana, uvivu wako ndio umasikin wako,

Niite vyovyote utakavyo. Mimi mambo ya kufikirika nilijibia Mitihani nikafaulu basi! Kuwa eti Binadamu wa kwanza alikuwa mweusi, Tena Mtanzania😜
Mara ohhh tulikuwa nyani. Wengine tuliumbwa Kwa udongo

Mara Waafrika ndio wa kwanza kupata maendeleo ya Sayansi na Teknolojia
Mimi anjiulizaga" maswali kama haya:
Hivi inakuwaje Kuna watu hawajawahi ona Bomba la maji wengine wanatembelea Mav8!

Inakuwaje Kuna watoto wanasoma kwenye Shule ya Viyoyozi wengine wanasoma Shule mShikizi kwenye Vumbi...kama ile ya Ulanga, ambayo Kamati yaCCM Mkoa wa Moro walijiselfiisha'

Ni nchi ya aina gani ambapo tunajenga Reli ya Umeme ilhali kina mama vijijini wanatembea Km 10 kwendaakupima Malaria! Kuna daraja la kujiseofisha la salander na Koko Beach ambapo maili chache hapo Vingunguti naTandale kuna watu wanaishi na taka!?

Nina maswali menginmno ya kivivu!Au inawaje tunakubali kuongozwa na watu ambao miezi 10 iliyopita walikuwa wanatumbia Ubaya wa Chanjo ya Korona na kuwa Tanzania hakuna korona. Leo haohao wanatuambia uzuri wa chanjo hiyohiyo na utuli mwingine unaambatana na Injili hiyo?

Labda pengine nyie wasomi wetu mko bize kujadili Evolisheni ma Nachoroo Selection mmetuachia wavivu na mambo yetu ya kivivu!
 
Wakuu marry chrismass.

Nimekaa nimewaza na kufikiri naona kama kuna kitu hakiko sawa kuhusu sisi waafrica.

kitu cha kwanza ni kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii,
tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine, mfano ulaya ni weupe,asia ni weupe,australia ni weupe,america kaskazini na kusini ni weupe (isipokuwa black americans tu ambao nao pia wanatokana na mababu zetu waliopelekwa utumwani kule).
so najiuliza kwanini only africans are the black people ? Kwa majujibu wa takwimu za population, dunia mpaka sasa ina watu bilion 7.8, na africa pekee ina watu bilion 1.3 tukijumlisha na yale masalia ya america na carribean labda tunakuwa 1.4 au 1.5 billion ndo watu pekee weusi duniani, maana ake kati ya watu bilion 7.8 weusi ni 1.5 bilion pekee,wengine wote wanaobaki ni weupe, kwanini yani weupe mbona wengi sana, je imekuwaje weusi wakawa wachache alafu wametengewa bara lao, maana mabara yote 6 yenye watu matano ni weupe isipokuwa bara moja tu la africa ndo weusi tii why mbona sipati majibu sahihi ? Sijichukii kwa sababu mimi mweusi ila najiuliza tu kwanini waafrica pekee ndo weusi ? Alafu pia wakawa wachache kuliko weupe ? Kuna laana gani ilipita hapa ebu nambieni wadau.

Kitu cha pili, kwanini sisi watu weusi tunaonekana tuko nyuma kwa karibu kila kitu, kuanzia ustaarabu watuletea watu weupe, teknolojia nyingi zimetoka kwao (asilimia karibu 90 ya kila tunachotumia waafrica kilianza kwanza kugunduliwa na mweupe), kwanini mweusi akawa nyuma sana ? Kuna laana gani hapa ? Kwanini sifa ya mwafrica ni ya umaskini na ujinga tu why this ? Walitutawala kwa karne karibu 4, wakatutumikisha kwenye ardhi yetu wenyewe na kutufanya watumwa na sisi tukakubaliana na hali, why only africans we became very stupid ? Mbona sisi hatukuanza kuwatawala ila wao weupe wakaanza ? Tuna rasimali kibao ila tumeshindwa kuzitumia zituboreshee maisha badala yake bado tumkabidhi mtu mweupe, kwanini sisi watu weusi tuna nini ebu nipeni majibu !

Cha mwisho, kwanini ngozi nyeusi inabaguliwa (racisim) na kuonekana duni, nadhani tunashuhudia wenzetu walioko ng'ambo jinsi wanavyobaguliwa na kuitwa nyani, ina maana sisi weusi duniani tulikuja bahati mbaya au ni vipi yani !...niki mnukuu mwarabu moja mweupe pale libya ambaye aliwateka waafrica wakiwa wanatorokea ulaya kupitia mediterania aliwaambia hivi "mnaenda wapi nyie watu weusi kutoka kuzimu watumwa mliolaaniwa ninyi"....unaweza kuona ni jinsi gani sisi watu weusi tunavyochukuliwa na watu weupe, sasa kwanini sisi waafrica tukaumbwa weusi (rangi ya kudharaulika,duni) alafu tukawa wachache na bado haitoshi tukapewa bara la peke yetu weusi (bara la africa) wakati weupe wao wakaumbwa wengi alafu wakasambazwa kwenye mabara matano tofauti na pia wakapewa upeo wa uelewa kuliko sisi ? Au ni kweli mungu alitulaani nini sisi weusi ? Au sisi weusi ni uzao wa shetani kama wanavoamini baadhi ya weupe ?

Nb : sijaudharau uafrica wangu ila najiuliza tu kwanini mweusi anadharauliwa na kudunishwa wakati mweupe yupo mbele yetu kwa karibu kila kitu ?

Amka waza mbali zaidi, kuhusu kubaguliwa ni sababu ya Umaskini wako tu ukiwa na fedha hakuna wa kukubagua ndiyo maana Reginald Mengi aliajiri house girl kutoka Indonesia, wakuongoza kampuni ya Madini Mkaburu, Meneja wa kampuni Muhindi.

Kuhusu Tekinolojia ni swala la kijasusi tu Mataifa yenye nguvu za kiuchumi yanatafuta watu wenye akili nyingi popote duniani na kuwafanya kuwa Raia wao hivyo kuendelea kiteknolojia kunategemea uchumi wako na bidii ya majasusi wa Nchi yako kuwakandamiza wapinzani wako.

Mabara yote duniani yanayo Nchi maskini sana tu kwa Ulaya angalia nchi za Ulaya ya Mashariki , Latin America na Asia kuna Nchi mpaka sisi kama Tz sasa tumeziacha kiuchumi mbali tu.

Kuhusu uwingi wa Watu Baada ya watu jamii ya kichina kwa wingi watu wanafutia ni watu weusi ndipo wanakuja Wahindi ,Wazungu, Waarabu na Mwisho Latin America.

Hapo ni swala la uumbaji wa Mungu tu jamii gani aiweke wapi.
 
Na hapo hapo kuna weusi wengine kutoka Ethiopia nao hujiona sio watu weusi. Funny enough, wanajinasibu na wayahudi, ambao wao wanawaona ni nyani weusi tu. Ukiangalia wanavyopata shida waethopia weusi kule Israel utawaonea huruma wanalazimisha udugu na wayahudi.

Maana hata kipindi cha madhila ya Libya waarabu kuwateka waafrika wanaotaka kuvuka kwenda Italy, hata hao wahabeshi walionekana watumwa tu mbele ya waarabu wa Libya walipokamatwa. Hapo ndio uone watu weusi tulivyo wa ajabu.
 
Jomba mambo mengine ni uongo wa wazi tu isipokuwa wanatumia sayansi kuhalalisha uongo huo. Wale wazungu na weusi waliokuwa pale Israel ni imposters tu isipokuwa wameweza kuwaamisha watu na stori za DNA kuwa na wao wana asili ya pale. Wazungu wapo wenye nywele nyeusi na nyeupe na hata hawa wakina Netanyahu hawana utofauti wowote wa kimuonekano na wazungu wengine. Walichotakiwa ni kusema ukweli kwamba wao walibadili dini tu miaka ya nyuma wakawa wayahaudi na sio kujifanya wana asili ya pale.

Akili nyepesi tu, ni kundi gani lililowahi kugeuka kutoka race moja kuhamia nyingine ukitoa hawa wahuni wa kizungu na ngozi nyeusi wanaojifanya waisrael. Pale pale Middle East kuna wakurdi ambao wameteswa miaka nenda rudi na ni watu waliotapakaa ukanda mzima ule ila hawajawahi kubadilika kuwa waarabu sasa sijui kwanini unakuwa mwepesi kudanganywa kupitia mgongo wa sayansi?
Hakuna shule, mzungu au mwalimu hapa Afrika atakufunza haya! Ukweli umefichwa mtu mweusi aishi kwa ujinga!

Screenshot_20211226-090316.png

images (1).jpg

images (3).jpg

images (2).jpg

images.jpg
 
Rangi ya mwafrika inatokana na mazingira ukandaa tunaoishi ni wajua kali so melalinin inablock uv ili isiharibu seli za ngozi ili tusipate kansa,
kuwa nyuma kimaendeleo hii naiweka katika sehemu mbili kwanza vurumai la ukoloni/utumwa(dini za kigeni) la pili ni sisi waafrika kutotaka kuendelea na misingi yetu ya maisha kuvurugwa mfano hatu mfumo wa kupata viongozi sahihi viongozi wetu ni kama sio washamba wa wazungu/non-african basi wanawatumikia wazungu/non-african.

nimalize kwa kusema , iamini sayansi uokoke
Ingekuwa kweli, basi Inuit na Sami people wa High Arctic wangekuwa weupe kuwaliko wazungu.
 
Back
Top Bottom