mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Mzungu ndio mtu wa mwisho kutembea na kuijua dunia. Nafikiri ndio sababu kuu yeye kuwa mgomvi.Sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzungu ndio mtu wa mwisho kutembea na kuijua dunia. Nafikiri ndio sababu kuu yeye kuwa mgomvi.Sijui
kwa hiyo mweusi alishatembea before ? kama weusi walishaitembelea dunia before weupe ni kipi tulifanya kuonesha kuwa tulikuwa mbele yao kwenye kuutambua ulimwengu huu before waoMzungu ndio mtu wa mwisho kutembea na kuijua dunia. Nafikiri ndio sababu kuu yeye kuwa mgomvi.
your right.Kama huwezi kujibu kwa hoja kaa utulie ili wenye uwezo wakudadisi nakuja na majibu watusaidie kuliko kutoa majibu ya ovyo kama ulivyofanya.Ni mjinga peke yake ambaye hawezi kujiuliza maswali yanayohusu asili yake.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
siyo kwamba nimeshikilia laana kuwa sababu kuu lakini nafikiri labda neno laana umelichukulia kwa dhana tofauti sana.Mbona umekazania na suala la laana?? Au una majibu yako tayari??
Hakuna laana yoyote
Kwani hakuna laana inaweza kumfanya mtu kuwa mweupe? Au laana lazima awe mweusi? Be proud of your skin. Rangi nyeusi ni extraordinary
non-sense ni wewe ambae huwezi kuwa na akili ya kudadisi hata kidogo, zero brain kabisa weMimi nasema ni zwazwa na mpumbavu bali Baradhuli mkubwa yule anayeuliza asili yake huku akijidhalilisha kwa kufikiria laana juu ya asili yake huku akijilinganisha na UBORA wa watu wa asili zingine.
Hebu angalia hivi vipande halafu wewe mpuuzi unayemtetea huyo rafiki yako ujaribu ku judge.
I'm touched in this case as I'm a black African, I can't leave such neusence unrefuted.
kwani before australia ilikuwa inakaliwa na watu wa rangi ganiUnajua wazungu walifika australia kutoka uingereza mwaka gani
ha ha ha haa siyo binadamu kamili ila ni watu gani kumbeWazungu wanaongoza lwa uhuni duniani, kuna muda huwa nawaza, inawezekana hawa jamaa sio binadamu kamili kama sisi.
we jamaa inaonekana unajua vizuri mambo ya human evolution na natural selection, ebu tuchambulie basi haya mabadiliko ya rangi yalitokeaje kulingana na muda wao pia, bila kusahau why rangi nyeusi iko nyuma kwa kila kitu kuanzia civilization, technologies na kuishi kitumwa wakati tumeukalia utajiriMzee baba swala zima la evolution na natural selection linakupiga chenga sana. Mi naomba niishie hapo.
una uhakika ulimwengu ulikuwa umejaa watu weusi mkuuKivipi. Na wakati ulimwengu ulikua umejaa watu weusi.
very good pointUkiona umefichwa jambo nawewe ukafichika jiulize mara mbili uwezo wako wakufikiri ukoje.Kwasababu tungekua bora kusingekua na haja kusubiri binadamu mwingine aje aaribu historia yetu.Lazima tukubali iko shida kati yetu ili tujue namna yakujirekebisha badala yakukalia tu historia isiyotusaidia jambo lolote.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwani Nebuchadnezer alikuwa mweusi au sisi weusi tulimtawala hadi huyo Nebuchadnezer?Kipindi cha Utawala wa Mfalme Nebuchadnezzar.
mkuu sijaelewa imekuwaje uyapende matusiEti "mnaenda wapi nyie watu weusi kutoka kuzimu watumwa mliolaaniwa nyinyi" 🙄😭😭
Nimeyapenda haya maneno, na sidhani kama duniani kuna matusi makubwa zaidi ya haya, narudi kumalizia mada kisha tujadili. UMELETA MADA NZURI SANA MKUU, HONGERA.
kwa hiyo mweusi alishatembea before ? kama weusi walishaitembelea dunia before weupe ni kipi tulifanya kuonesha kuwa tulikuwa mbele yao kwenye kuutambua ulimwengu huu before wao
according to columbus mwenyewe anasema "alipofika latin america alikuta wenyeji ni red indies (wahindi wekundu) ambao ndo walikuwa native pale, hakuna mahali amesema wenyeji wa latin america walikuwa weusi, nafikiri wadau watanisapoti kwenye hili.Christopher Columbus alipofika West Indies na Amerika aliwapata watu weusi wakiwa mateka wa vita kwenye Indian village, alipouliza ni vipi akajibiwa kuwa Hawa walikamatwa katika Kijiji kingine Cha watu weusi. Pia aliweza kupata mishale ya dhahabu Kwa jina GANA sawa na alizoziona kule ulaya na west Afrika Kwa jina Hilo Hilo. Ili kuhakikisha usahihi wa mishale hiyo, alirudi nazo ulaya na kufanya chemical analysis confirming their similarities.
Haiti na Dominican republic, Honduras na Mexico zilikuwa na watu weusi according to Colombus own Journals.
Mahindi na pamba zilikuzwa Afrika kabla mzungu kuja nazo which are native to America's.
Lugha zinakaribiana ie Darras in South America na Jarras in West Africa pia ndizi Yana majina sawa nk. Tafuta Dr.Ivan Sertima na Cheikh anta Diop Kwa maelezo zaidi.
non-sense ni wewe ambae huwezi kuwa na akili ya kudadisi hata kidogo, zero brain kabisa we
Kuna 12 accounts from 12 different explorers including Balboa.according to columbus mwenyewe anasema "alipofika latin america alikuta wenyeji ni red indies (wahindi wekundu) ambao ndo walikuwa native pale, hakuna mahali amesema wenyeji wa latin america walikuwa weusi, nafikiri wadau watanisapoti kwenye hili.
na pia hata columbus aliporudi ulaya kwenda kuwasimua jinsi ardhi yenye rutuba iliyopo latin america, wazungu wakaenda huko kuanzisha mashamba ya pamba na kahawa, waliwachukua wale red indies wakawa watumwa wa kuwafanyisha kazi mashambani na migodini lakni wale red indies wakawa wanakufa kwa tropical diseases na pia walikuwa hawawezi fanya kazi mda mrefu.
wakaamua waje west africa wakawakuta waafrica (liberia na sierra leone) wakawachukua waafrica kama 28 tu hvi kwenda kuwafanyia majaribio, waafrica hao wakawa wanapga kazi kuliko hata walivyopangiwa, wazungu wakaona hawa ndo wazuri ndo wakaja kuwabeba rasmi kwa pupa na hapo dam nyeusi ikaingia latin america na carribean.
umezingua kama ni hali ya hewa inasbabisha tuwe we usi mbona kuna black america wako miaka na miaka hawabadiliki kuwa weusinaomba uanze kwa kusoma historia ya mwanadamu wa sasa homo sapiens utaelewa sis tumetokawapi mpaka kufika hapa. Hakuna mwanadamu hapo ulimwengu ambaye asili yake sio afrika.
Mutation na evolution haitokei kwa vizazi vinne au vitano kwa viumbe kama binadamu wazungu walitoka afrika miaka 12000 iliyopita , so mazingira yalipekea kutokea mutation ya gene inayocontrol melanin ikawa inapungua nguvu na chance ya kusurvive kwa watu waliokuwa weupe ikawa kubwa kwasababu sehemu walizokuwa wazungu hakuna jua so weupe waliweza kutengeneza vitamin D nyingi zaidi ya watu weusi waliokuwa huku ulaya . Ndio maana mpaka leo watoto wote ulaya wanapewa dawa ya vitamin D na waafrika wa ulaya wanashauriwa watumie vitamin D sana maana ngozi yao inapunguza uwezo wa kufonza nguvu za kujua kutengeneza vitamin d
kusema iamini sayansi na uokoe namaanisha kuwa sayansi ndio itakuokoa usipate magonjwa uondokane na ujinga na kukuepusha na utapeli mwingi wa huu ulimwengu
Napenda kuwaalika Kiranga Scars kuongezea information pale ambapo hapajatosha.
Columbus was a mass muderer fraudsterChristopher Columbus alipofika West Indies na Amerika aliwapata watu weusi wakiwa mateka wa vita kwenye Indian village, alipouliza ni vipi akajibiwa kuwa Hawa walikamatwa katika Kijiji kingine Cha watu weusi. Pia aliweza kupata mishale ya dhahabu Kwa jina GANA sawa na alizoziona kule ulaya na west Afrika Kwa jina Hilo Hilo. Ili kuhakikisha usahihi wa mishale hiyo, alirudi nazo ulaya na kufanya chemical analysis confirming their similarities.
Haiti na Dominican republic, Honduras na Mexico zilikuwa na watu weusi according to Colombus own Journals.
Mahindi na pamba zilikuzwa Afrika kabla mzungu kuja nazo which are native to America's.
Lugha zinakaribiana ie Darras in South America na Jarras in West Africa pia ndizi Yana majina sawa nk. Tafuta Dr.Ivan Sertima na Cheikh anta Diop Kwa maelezo zaidi.
Hao black america wameenda marekani miaka 400 iliyopita sasa wazungu walibadilika miaka 12000 iliyopita na ukumbuke hali ya hewa ni tofauti sana ilikua ice age kipindi hiko.umezingua kama ni hali ya hewa inasbabisha tuwe we usi mbona kuna black america wako miaka na miaka hawabadiliki kuwa weusi