Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Portability matter!!
nyinyi bana kukatika hua ni mtihani kidogo, na kuna style nyingi tu ham -fiti.

Wengine hua shughuli kidogo tu, basi mko hoi, na pengine hata majasho nini!!
 
Wanaume wanaogopa vingi sana. Pamoja na hizo sababu tajwa hapo juu kuna hizi pia,
Kununua kitanda kikubwa, kuchekwa, kuogopa mwanamke bonge kuzeeka haraka, harufu mbaya kutokana na maumbile hayo n.k

Hahahahahah! Kaka namkumbuka nyakato junior na uzi wake wa kukulilia, si ungemwambia tu kuwa hizi ndo sababu?
 
Last edited by a moderator:
Uchambuzi wako uko sahihi kabisa! Akili zao zime-base kwenye makalio yao.
 
wenzako ni akina nani vile humu JF?vi-k vyenu huwa mbali sanaaaa na kusabisha mbuzi kagoma pekee kuwa applied,hii inakifu
 

mi naona kuolewa na kutoolewa wala hakuhusiani na unene wala wembamba wa mtu ni jitihada binafsi tu ndio zinazohitajika!
 
Ni kweli wanawake wanene wana harufu kali,nafikiri fangus wanawashambulia kwa urahisi kutokana na mikunjo mingi ambayo hujaa jasho mara kwa mara.
Pia shepu zao ni wakiwa wamejifunika kwa nguo,pindi wawapo uchi hawana mvuto kabisa,minyama inakuwa imelegea sana.
 
mi naona kuolewa na kutoolewa wala hakuhusiani na unene wala wembamba wa mtu ni jitihada binafsi tu ndio zinazohitajika!

Ila wanawake wanene hawavutii wanaume wengi. Binafsi SIWAPENDI,
 
Ni kweli, wakiwa hawana nguo hayo manyama hayatamaniki. Hilo tumbo mh
 

Naunga mkono hoja
 
Uliyoyasema ni kweli cha msingi jitahd mpunguze unene,ila wengi wanashndwa kutokana na kushndwa kuacha vyakula walivyoagizwa hasa bia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…