Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Aizee huyu Mama Wa Mgawaha amzing hapa Mbezi Beach ni hatari.

Ana Kiuno kama vile amebeba Kamtungi fukani kako Spherical in shape.

Mpaka leo naamini ana wanaume wengi sana.

Maana hajaolewa nikijiuliza Sababu sipati maana hata mimi sina mpango wa kumuoa.
 
Ila unamega
 
Njoo inbox tuyajenge,...huwa nawapenda mno wanawake kama nyieπŸ˜‹πŸ˜‹,..tebo tebo lah!🎢,..tebo tebo lah🎡
 
Njoo inbox tuyajenge,...huwa nawapenda mno wanawake kama nyie[emoji39][emoji39],..tebo tebo lah![emoji445],..tebo tebo lah[emoji444]
Eeeh umeona umalize kabisa tatizo lake[emoji23][emoji23]
 
Tafuteni hela,haiwezekani wewe ni kibonge alafu huna hela utaishia kusalitiwa
 
%kubwa ya mabonge ni wachafu hawawezi kujiosha vizuri
 
si kila wakati mnene anakuwa mzito.. Kuna tofauti kati ya unene na uzito.. Nikupe mfano wa gunia la ujazo mmoja la pamba na gunia la chuma
Kipi kizito Kati ya pamba kilo 50 na mchanga kilo 50 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…