unene si kipimo cha kilo kuwa kuanzia kilo X tunasema huyu ni mnene.
kilo ni kipimo cha uzito.
JAPO UPO UHUSIANO KATI YA UNENE NA UZITO.
unene ni ukubwa wa umbile linalozidi uhalisia wa urefu wa mtu.
KWA MFANO:
kama ni meza: ya urefu wa 2X2,4X4,10X10 tunasema ina umbo la mraba bila kujali uzito wake ama udogo wake.
mfano:wapo watoto wana kilo 10,20,30,25, nk ni wanene si kwa sababu ya kilo kama wengi wanavyofikiri unene ni kuwa na kilo nyingi.
UKIWA NA MEZA YENYE KIPIMO CHA 2X3 ,6X7,30X29 ,meza hizi zote ni mstatili lakini uliokaribia kabisa kuwa mraba na ukiangalia kwa haraka unaweza usibaini kama upande mmoja ni mrefu na mwingine ni mfupi.
SASA MAUMBO KAMA HAYA YA MSTATILI UNAOTAKA KUFANANA NA MRABA YANAWEZA KWA MTU KUTAFISRIWA KAMA UNENE BILA KUJALI KILO AMA UZITO.
ili kuangalia unene kuna uwiano kati ya UREFU na UPANA wa mwili.mfano up=60,ure=80 mnene
swalala la kilo ni pembeni.
mfano wapo wenye kilo mpaka 90,100 lakini si wanene kulingana na urefu wao,HAWA WANAITWA GIANT AMA BIG MEN OR BIG WOMEN.