Kwanini sisi wapare hatujui football?

Kwanini sisi wapare hatujui football?

Mkuu yaani serikali itenge bajeti kufanya tafiti kwamba kwanini hakuna wachezaji wapare? 😂😂😂😂
 
Hamjui vingi tu,

Hamjui kupenda kwa dhati (demu wa kipare katikati ya kunjunjana anakukumbushia deni lake), hamjui kula vizuri, hamjui kuishi na watu wengine vizuri. Wapare ni kama aliens, wamekuwa wabinafsi kiasi cha kutojua chochote kile.
 
Wewe unayejua vimekufikisha wapi
 
Alikuwepo Edmund Manongi, winga wa Mwadui FC, alikuwepo Sekilojo Chambua, middle ya ukweli wa Yanga.

Vv
 
Mchaga yupo alishawahi kuwa kampteni wa taifa stars , tena bado mzima mpaka leo ni mzee alishawahi kuishi Tnga miaka ya nyuma .
Nimeambiwa na massawee alikuwepo.
 
Back
Top Bottom