Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Umesahau sehemu kubwa wilaya ya Temeke kama Yombo, Buza karibia yote .. Hawa jamaa waliulaga sana. Barabara zina lami/nzege na mifereji mikubwa na taa za barabarani.. hata hizo za upanga zikasome.
Kama upo ubungo sijui kinondoni sijui kibamba kazi ipo
Huko ndiko kura nyingi za uraisi CCM hupatikanaUmesahau sehemu kubwa wilaya ya Temeke kama Yombo, Buza karibia yote .. Hawa jamaa waliulaga sana. Barabara zina lami/nzege na mifereji mikubwa na taa za barabarani.. hata hizo za upanga zikasome.
Kama upo ubungo sijui kinondoni sijui kibamba kazi ipo
Kkoo yenyewe mitaa kibao haina barabara..wala hakuna kiongozi anaye jali hata huyu zuzu mkuu wa mkoa yupo yupo tu yeye kushangaa cement na matairi kuuzwa kkoo ila ashangai kkoo kuwa na barabara za vumbi hadi sasa..Wakuu,
Nimejikuta tu najiuliza maswali, kwanini sisi wengi maeneo yetu njia za mtaani ni songombingo hasa kipindi cha mvua, yaani ukitaka kutoka nje mpaka uite mizimu kwanza ukisaidie kupata ujasiri wa kupita😂😂
Sisi wa maeneo mengine tofauti na Mikocheni, Upanga, Masaki hatustahili kuwa njia nzuri za lami au zege mitaani? Hatuna hiyo hadhi? Au wenzetu ndio wananchi sana sisi wengine tuko vipande jina la wananchi halitutoshi hivyo hatustahili kupata huduma nzuri?
Kuna njia ukipita kama hujapita inabidi usimame kama dk 5 hivi ili upige hesabu za kupita usije ukateleza, ukaanguka ukavunjika utulie nyumbani kujiuguza, mtu mwenyewe ni ansesta wa miaka 30 na kuendelea ukivunjika mfupa unachukua miaka kuungua😂😂😂
Utani pembeni Wakuu, kwanini sisi wengine tunatengwa kupatiwa barabara nzuri?
Na sasa hivi hata danganyatoto za kuchongewa barabara hakuna, yaani tumetelekezwa, tuko kama wahamiaji haramu ambao tumeachwa tu tukae bila usumbufu!🥲
Mimi mwenyewe nilishangaa nilipofika buzaUmesahau sehemu kubwa wilaya ya Temeke kama Yombo, Buza karibia yote .. Hawa jamaa waliulaga sana. Barabara zina lami/nzege na mifereji mikubwa na taa za barabarani.. hata hizo za upanga zikasome.
Kama upo ubungo sijui kinondoni sijui kibamba kazi ipo
Kariakoo wafanyabiashara hawako tayari kufunga biashara kupisha ujenzi wa barabaraKkoo yenyewe mitaa kibao haina barabara..wala hakuna kiongozi anaye jali hata huyu zuzu mkuu wa mkoa yupo yupo tu yeye kushangaa cement na matairi kuuzwa kkoo ila ashangai kkoo kuwa na barabara za vumbi hadi sasa..
Kwa hiyo zilizo jengwa zilijengwaje ikiwemo ya mwendo kasi ? Pia wewe ujui kitu ujenzi wa barabara siyo kufunga mitaa pia biashara za kkoo zinavyo fanyika wewe ujui ..kitu kingine vibarabara vya mitaa kkoo ni vifupi tu ni chini ya nusu kilometaKariakoo wafanyabiashara hawako tayari kufunga biashara kupisha ujenzi wa barabara
nlitaka nimjibu kama ulivomjibu. afu mm hua najiuliza hivi ilikuaje mpaka barabara za mtaa za yombo n nzuri vile na zna taa za barabaran kabisa lakn barabara kuu ya kutoka tandika-buza haina taa. zle barabara za mtaa zilijengwaga mwaka gan na je zlijengwa na mbunge au? kila nikiziona hua najiuliza what's the motive behind the construction of this beautiful roads?Umesahau sehemu kubwa wilaya ya Temeke kama Yombo, Buza karibia yote .. Hawa jamaa waliulaga sana. Barabara zina lami/nzege na mifereji mikubwa na taa za barabarani.. hata hizo za upanga zikasome.
Kama upo ubungo sijui kinondoni sijui kibamba kazi ipo
Isiwe kesi Wahame kariakoo wahamie kwenye barabara nzuriKwa hiyo zilizo jengwa zilijengwaje ikiwemo ya mwendo kasi ? Pia wewe ujui kitu ujenzi wa barabara siyo kufunga mitaa pia biashara za kkoo zinavyo fanyika wewe ujui ..kitu kingine vibarabara vya mitaa kakoo no vifupi tu ni chini ya nusu kilometa
Ina maana watu wa mikocheni mnajisaidia sana ndio maana hadi chemba za maji machafu zinazidiwa punguzeni kijisaidiaHakuna mahali penge bara bara mbovu huku Dar kama Mikocheni,!barabara karibu zote zinavuja chemba za maji machafu..!
Jambo hili ni kweliUmesahau sehemu kubwa wilaya ya Temeke kama Yombo, Buza karibia yote .. Hawa jamaa waliulaga sana. Barabara zina lami/nzege na mifereji mikubwa na taa za barabarani.. hata hizo za upanga zikasome.
Kama upo ubungo sijui kinondoni sijui kibamba kazi ipo
Hata kujenga wenyewe serikali hairuhusu, mnaambiwa ipo kwenye mchakato.Maansesta jengeni jichangeni
Labdam mlikosea kuchagua kipindi cha nyumaTunaoshi ukonga tuna tabu aisee kama tupo gerezani yani sio mitaa wala barabara kuu ni mashimo na vumbi nilishangaa sana nilivyofika kilakala yombo ni full mkeka mpaka chochoro sijui hii inakuwaje