Walisema tusipochagua watu wa CCM hatutapata maendeleoLabdam mlikosea kuchagua kipindi cha nyuma
Mkuu sijaelewa hapaMaansesta jengeni jichangeni
Ahh Mkuu hao ndio wana misamaa mikubwa, kudi kubwa tunakamuliwa mimi na wewe kama sio mkazi wa maeneo hayo😂Huko ndiko kuna walipa kodi na wakwepa kodi wakubwa. Lazima wamulikwe
Namaanisha muombe kibali muwe mnazikarabati wenyewe hizo barabara...huko ushuani na Klm baadhi ya streets wananchi huomba kuziendelezaMkuu sijaelewa hapa
Sasa context ya wanyama inaingiaje hapa kwenye huduma tunazotakiwa kupata wote?Sip wanyama wote wako sawa
AAah kweli, huku nilikusahau, kule kweli mitaa mingi iko vizuriUmesahau sehemu kubwa wilaya ya Temeke kama Yombo, Buza karibia yote .. Hawa jamaa waliulaga sana. Barabara zina lami/nzege na mifereji mikubwa na taa za barabarani.. hata hizo za upanga zikasome.
Kama upo ubungo sijui kinondoni sijui kibamba kazi ipo
George OrwellSasa context ya wanyama inaingiaje hapa kwenye huduma tunazotakiwa kupata wote?
Huko mnauziana viwanja kwa mtindo wa sambusa sahau unachokiwazaWakuu,
Nimejikuta tu najiuliza maswali, kwanini sisi wengi maeneo yetu njia za mtaani ni songombingo hasa kipindi cha mvua, yaani ukitaka kutoka nje mpaka uite mizimu kwanza ukisaidie kupata ujasiri wa kupita😂😂
Sisi wa maeneo mengine tofauti na Mikocheni, Upanga, Masaki hatustahili kuwa njia nzuri za lami au zege mitaani? Hatuna hiyo hadhi? Au wenzetu ndio wananchi sana sisi wengine tuko vipande jina la wananchi halitutoshi hivyo hatustahili kupata huduma nzuri?
Kuna njia ukipita kama hujapita inabidi usimame kama dk 5 hivi ili upige hesabu za kupita usije ukateleza, ukaanguka ukavunjika utulie nyumbani kujiuguza, mtu mwenyewe ni ansesta wa miaka 30 na kuendelea ukivunjika mfupa unachukua miaka kuungua😂😂😂
Utani pembeni Wakuu, kwanini sisi wengine tunatengwa kupatiwa barabara nzuri?
Na sasa hivi hata danganyatoto za kuchongewa barabara hakuna, yaani tumetelekezwa, tuko kama wahamiaji haramu ambao tumeachwa tu tukae bila usumbufu!🥲
Huku kwengine tunakula jeuri yetu😂😂Huko ndiko kura nyingi za uraisi CCM hupatikana
Ni ngome ya CCM
Tunaongelea wajibu wa serikali wewe fara ....usiwe kama una uanithi wa akiliIsiwe kesi Wahame kariakoo wahamie kwenye barabara nzuri
Ni kweli, hata vidole vya mkono havilinganiSio wanyama wote wako sawa
Jiamini acha inferiority, mbn ni mitaa mingi mjini ina lami siku hz bila kujali wanaoishi humo.Wakuu,
Nimejikuta tu najiuliza maswali, kwanini sisi wengi maeneo yetu njia za mtaani ni songombingo hasa kipindi cha mvua, yaani ukitaka kutoka nje mpaka uite mizimu kwanza ukisaidie kupata ujasiri wa kupita😂😂
Sisi wa maeneo mengine tofauti na Mikocheni, Upanga, Masaki hatustahili kuwa njia nzuri za lami au zege mitaani? Hatuna hiyo hadhi? Au wenzetu ndio wananchi sana sisi wengine tuko vipande jina la wananchi halitutoshi hivyo hatustahili kupata huduma nzuri?
Kuna njia ukipita kama hujapita inabidi usimame kama dk 5 hivi ili upige hesabu za kupita usije ukateleza, ukaanguka ukavunjika utulie nyumbani kujiuguza, mtu mwenyewe ni ansesta wa miaka 30 na kuendelea ukivunjika mfupa unachukua miaka kuungua😂😂😂
Utani pembeni Wakuu, kwanini sisi wengine tunatengwa kupatiwa barabara nzuri?
Na sasa hivi hata danganyatoto za kuchongewa barabara hakuna, yaani tumetelekezwa, tuko kama wahamiaji haramu ambao tumeachwa tu tukae bila usumbufu!🥲
=======
mkuu tena lile barabara la zege ni kishindo sana mkuu, mataa yame jaa na kupangaliwa vizuri.Dah kwetu zege na lami limepita
Shkran sana kwa awamu ile
Hata tandale nao walibahatika
Ova
Kama kinonndoni bwawani ilipokuja mradi wa barabara zegemkuu tena lile barabara la zege ni kishindo sana mkuu, mataa yame jaa na kupangaliwa vizuri.
Kuna siku nika sema huku pange kuwa ushuani, una hamia kabisa.
sehemu ambayo nili papenda zaidi ni kigamboni, kuna sehemu pame tulia kinyama.Kama kinonndoni bwawani ilipokuja mradi wa barabara zege
Mandhari yakabadilika kabisa
Kipindi cha nyuma palikuwa panajaa maji sana ahh sahv mterezoo tu
Ukija huko mafele napo mambo mukideee
Ova