Kwanini sisi wengine (wengi) hatuna barabara nzuri za mitaani kama Mikocheni, na Upanga? Au hatustahili na hao ndio wananchi sana?

Kwanini sisi wengine (wengi) hatuna barabara nzuri za mitaani kama Mikocheni, na Upanga? Au hatustahili na hao ndio wananchi sana?

Ila kwa suala la usafi bado hata hizo sehemu unazosema..

Mikocheni mitaro imejaa maji taka , maji machafu kweli....

Ni bora za zaidi hii mifumo ya kujenga mitaro wabadilishe, mitaro ifunikwe kuliko kama hivi inavyoachwa wazi inajaa maji machafu hadi yanatoa harufu mbaya sana..
Hilo ni suala la effectiveness ya mipango miji katika kutekeleza majukumu yao.

Ukifuatilia hata hizi bara bara chache zilizotengenezwa na manispaa, mara nyingi hakuna maintainence zinazofanyiwa, yaan zikishatjengwa tu ndio imetoka hivyo, matokeo yake baada ya muda njia za maji zinajaa uchafu, zinaziba kiasi kwamba mvua ikinyesha maji yanatwama na kutengeneza madimbwi inakuwa ni kero.
Ndio maana tunataka reformation karibu kwenye kila sekta ya nchi hii... endeleeni kuing'ang'ania ccm sasa
 
kasome baiboo kuna kizazi cha wateuleeeee nduguu hivi havikwepeki

 Lazimaa

tunaishi navyooooo

ccm

tandalee oyeeee

oyeee
 
Sijui ni utawala au ni muda anyway Ukiweka Yombo,weka na Mbagala kuna barabara nyingi sana za mitaani za zege na taa.
 
Back
Top Bottom