Kwanini sisi wengine (wengi) hatuna barabara nzuri za mitaani kama Mikocheni, na Upanga? Au hatustahili na hao ndio wananchi sana?

MZEE WASIRA: "Hakuna nchi inakosa wanung'unikaji, wenye matatizo yao waendelee kunung'unika, nchi haiwezi kuwa kama kiporo".
Mkuu kunung'unika ni haki yako so endelea na matatizo yako.
 
AAah kweli, huku nilikusahau, kule kweli mitaa mingi iko vizuri
 
Huko mnauziana viwanja kwa mtindo wa sambusa sahau unachokiwaza

Mna squarter kila kona hakuna mpangilio wowote wa maeneo ili serikali iweze kuwapa huduma kama iyo ya barabara
 
Jiamini acha inferiority, mbn ni mitaa mingi mjini ina lami siku hz bila kujali wanaoishi humo.
 
Dah kwetu zege na lami limepita
Shkran sana kwa awamu ile
Hata tandale nao walibahatika

Ova
mkuu tena lile barabara la zege ni kishindo sana mkuu, mataa yame jaa na kupangaliwa vizuri.

Kuna siku nika sema huku pange kuwa ushuani, una hamia kabisa.
 
mkuu tena lile barabara la zege ni kishindo sana mkuu, mataa yame jaa na kupangaliwa vizuri.

Kuna siku nika sema huku pange kuwa ushuani, una hamia kabisa.
Kama kinonndoni bwawani ilipokuja mradi wa barabara zege
Mandhari yakabadilika kabisa
Kipindi cha nyuma palikuwa panajaa maji sana ahh sahv mterezoo tu
Ukija huko mafele napo mambo mukideee

Ova
 
Kama kinonndoni bwawani ilipokuja mradi wa barabara zege
Mandhari yakabadilika kabisa
Kipindi cha nyuma palikuwa panajaa maji sana ahh sahv mterezoo tu
Ukija huko mafele napo mambo mukideee

Ova
sehemu ambayo nili papenda zaidi ni kigamboni, kuna sehemu pame tulia kinyama.

Upepo mwanana, hakuna kelele na pame changamka.
 
Hii ilitakiwa kuwa mada pana sana yenye pages zisizopungua 40 na wachangiaji wengi maana inatoa taswira jinsi jamii yetu ilivyokuwa na matabaka hata kwenye vitu au huduma ambazo hazikutakiwa kuwa na matabaka, na moja ya huduma hizo ni miundo mbinu mizuri mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…