Sa wangu si pale watakuwa washindani wanahangaika kuonyesha uanaume wao walivyokamilika na unmasculine sijui six pack,ndevu nzuri,sura ya kiume,miili ya kiume nkTangu utotoni nasikia tu Miss World, why sisikii Mr World? kunahitajika kuwepo kwa Mr World ili dunia ijue kua wanaume wazuri/handsome wapo na mchango wao katika maisha.
Kama ikiwezekana tuanze na Mr Tanganyika, na niko tayari kuiwakilisha Dar-es-salaam na hata Tanganyika katika Mr World.
Kwanini isiwepo?
Tangu utotoni nasikia tu Miss World, why sisikii Mr World?
Kunahitajika kuwepo kwa Mr World ili dunia ijue kua wanaume wazuri/handsome wapo na mchango wao katika maisha.
Kama ikiwezekana tuanze na Mr Tanganyika, na niko tayari kuiwakilisha Dar-es-salaam na hata Tanganyika katika Mr World.
Kwanini isiwepo?
Unauelewa hafifu sana juu y uwanaume
we akili yako unajua mwanaume ni pundaWewe wanaume unataka utambuliwe na nani wakat uwanaume wako na shughuli zako tu tayar zinakutambulisha kua wewe na top apa dunia au unataka ujitambulishe na kuwaaminisha wanaume wenzho kua nawewe mwanaume?