Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Tangu utotoni nasikia tu Miss World, why sisikii Mr World?
Kunahitajika kuwepo kwa Mr World ili dunia ijue kua wanaume wazuri/handsome wapo na mchango wao katika maisha.
Kama ikiwezekana tuanze na Mr Tanganyika, na niko tayari kuiwakilisha Dar-es-salaam na hata Tanganyika katika Mr World.
Kwanini isiwepo?
Bro, kwanza huna hata ndevu, utatuwakilishaje wanaume?.
Yaan Mwanaume mzima ukinawa uso ni kama unaosha embe..
Alaf ww sio Handsome.