Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Tangu utotoni nasikia tu Miss World, why sisikii Mr World?
Kunahitajika kuwepo kwa Mr World ili dunia ijue kua wanaume wazuri/handsome wapo na mchango wao katika maisha.
Kama ikiwezekana tuanze na Mr Tanganyika, na niko tayari kuiwakilisha Dar-es-salaam na hata Tanganyika katika Mr World.
Kwanini isiwepo?
Ila kwakwel🤣Huoni watunishi misuli?
Hiyo ndio michezo na mvuto wa wanaume.
Au unataka wapake makeup kama mashoga?
Itabidi wadada wa JF mumkalie kikao mumsute labda ataacha.😅😅 kwa uzuri gani bwana Haszu?? Uzuri tulikuona na hauna hata maajabu🚮
😂😂😂😂😂 kweli una stress kali kijana okay 😁😁😁wadada wengi wa jf ndio mnakazana kusema hivyo, ukute ndio nyie mnaonitongoza insta a mitandao mingine
Kasema eti ndiyo tunamtongoza IG 😂, halafu huku tunamkandia 😅😅😅Itabidi wadada wa JF mumkalie kikao mumsute labda ataacha.
Tusi lako kuu ni una sura mbayawewe dada lazima utakua na sura mbaya
we utakua papai wewe
Inasikitisha Sana.Hass Avocado kwenye Moja na Mbili.
View attachment 3575513
Hilo jamaa ni senge linapenda lishikwe yeye makalio, ndio mana ukiongelea mada kama hizi linatembeza dislike!PSL-GOD ako wap maana hapa lazima angekuekea emoji ile nyekundu ya dislike huyu mwamba akipitia uzi lzm atembeze na emoji nyekund