Kwanini Soka letu la bongo bado lipo nyuma Sana???

Kwanini Soka letu la bongo bado lipo nyuma Sana???

UtdProfile_

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2021
Posts
255
Reaction score
314
TFF yatoa tena List ya Yanga wachezaji wenye vibali.. Kucheza Ngao ✍️✍️✍️
 

Attachments

  • IMG_20230809_133131.jpg
    IMG_20230809_133131.jpg
    60.8 KB · Views: 3
Nani kakwambia soka letu lipo nyuma muwe mnafatilia mpira bana
Ukitoa nchi za kiarabu South Africa DRC Sudan Angola hakuna nchi nyingine zozote zinazofikia soka la Tanzania kwenye ligi lkn
 
Uzi tayari?????????

Seva za Jamii forum Zina kazi sana!!!!!

Anyway
KWENYE JAMII YA WATU MILIONI 60 HATUWEZI WOTE TUKAWA SAWA.
 
TFF ya Karia inaendesha mambo yake kibabaishaji sana. Hata hayo mashindano kuyapeleka uwanja wa Mkwakwani Tanga, na kucheza michezo yote hapo hapo! Imejaa utata mwingi mpaka basi.
 
Back
Top Bottom