Kwanini somo la Civics ndilo pekee ambalo haliundiwi combination "A" level katika masomo saba ya msingi Kidato cha Nne?

Kwanini somo la Civics ndilo pekee ambalo haliundiwi combination "A" level katika masomo saba ya msingi Kidato cha Nne?

Diplomat hasa wa ngazi za juu anaweza kuwa mtu aliyesoma kitu chochote.
Mbona daktari bingwa hawezi kuwa mtu aliyesoma chochote isipokuwa somo la Biology secodary na akafaulu vema?
 
Kwa sababu udaktari ni sayansi, na kama sayansi nyingine zote,kuna mtiririko maalum wa kujifunza, kupimwa na kuthibitishwa. Zaidi kwa udaktari na sayansi nyingine zote kuna content maalum ambayo ni rejea duniani kote.
Mbona daktari bingwa hawezi kuwa mtu aliyesoma chochote isipokuwa somo la Biology secodary na akafaulu vema?
 
Hillary Clinton- Mwansheria
John Kerry- Mwanasheria
Rex Tillerson - Civil Engineer
Mike Pompeo- Mwanasheria
Hao wote wamekuwa US top diplomats pasipo kusomea Political science au international relations
Ninajua mkuu, lakini hawa wanaopata As za Civics tunawafanyaje kwa maana hawa ndio diplomats wetu...
 
John Kijazi ambaye sasa ni Katibu mkuu ni engineer na amekuwa Balozi wa Tanzania kwa muda mrefu nchi mbalimbali.
Ninamkubali sana mzee Kijazi na asingekuwa engineer angekuwa balozi mzuri sana tena saaaana zaidi ya alivyo sasa. Kumbuka kuna balozi bora na bora balozi
 
The powers that be hata wewe kama wanakutaka kama diplomat wanakupeleka hapo kurasini chuo cha diplomasia unapigwa brush kwenye etiquettes na protocols mbili tatu unapewa kitengo.
Ninajua mkuu, lakini hawa wanaopata As za Civics tunawafanyaje kwa maana hawa ndio diplomats wetu...
 
The powers that be hata wewe kama wanakutaka kama diplomat wanakupeleka hapo kurasini chuo cha diplomasia unapigwa brush kwenye etiquettes na protocols mbili tatu unapewa kitengo.
Political Scientist/Diplomat gani hana exposure ya masuala ya kimataifa?
 
Back
Top Bottom