Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #121
Mbona somo la computer linasomwa na wanafunzi wote wa chuoni lakini wale wa ICT wanalisoma kwa undani zaidi?Hata ndalichako amekusikia
NI wazo zuri lakini taaluma zote wanahitaji kufahamu Hilo somo kwa sababu tunafamya kazi zetu chini ya Sheria za nchi
Unawwza kuw mtanzania ukaenda Kenya kufanya kazi