Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #101
Kuwa vilaza maana yake hilo somo sio rahisi wala lelemamaWote wanaopata F NI vilaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa vilaza maana yake hilo somo sio rahisi wala lelemamaWote wanaopata F NI vilaza
Ndio ni ngeme. Kama ni rahisi basi wanafunzi wote wanapaswa kupata AKwani wanafunzi wengine wakipata F ndio uhalalishe kwamba civics NI ngumu
Huyu ndio nani mkuu?...Hii TZ yetu iko Vagalant sana..Namba moja wetu kasoma Kemia ambayo ni mambo ya utaalam,anasimama jukwaani anasema Saddam Hussein ni rais wa Libya badala ya kubaki kwenye utaalam wake
Mhhh...BM Camillius mwanadiplomasia mbobevu nadhan atakuwa amesoma Civics na Political science tunamfukuza Uanachama kwenye chama chetu pendwa..Kigwa HK daktari wa binadamu tunampeleka Maliasili..
Hapana mkuu haujatoka nje ya mada. Tunathamini sana mchango wako pia kaka mkubwa.Mwakyembe H pHD wa Sheria tunampeleka michezo sababu kashindwa kumdhibiti TAS kuwa don wa TLS..so kusoma hiki ili uje uwe hivi hapa bongoland ni kutimiza wajibu tu ila reality unakutana na vitu tofauti kabisa ktk uhalisia wa mambo..am sorry kama nimetoka nje ya mada
Lazima tutafika tu mdogo wangu. Vipanga wa Civics lazima watazamwe kwa jicho la pili. Serikali isiwapuuze. Wao pia wapewe combination yao.Wakati wenzetu wanasafiri kwenda kwenye mwezi
Wanatengeneza robots
Wanatengeneza ndege
Wanapandikiza ini ,moyo meno nk
Wanatengeneza simu sisi tunashangaa mwalimu was biology kufundisha civics
Kweli tutafika jaman!!!?
Huyo jamaa ni m-bishi na anakurupuka sana na majibu yake yasiyo hata na mantiki yoyoteSidhani km hiyo ni sababu
Just ignore him broMmhhh!!!!,Uraia siyo applicable?, are you sure?.
Poa mzee baba
Mhhh...Ukisoma URAIA na ukija ktk mazingira halisi utaona jinsi gani tunavyodanganywa na Hawa wanaojiita WAZALENDO wa Nchi hii DEMOCRACY FREE AND FEAR ELECTION cjui Muhimili wa BUNGE
Pamoja sanaPoa mzee baba
Sawa mkuuUkisoma URAIA na ukija ktk mazingira halisi utaona jinsi gani tunavyodanganywa na Hawa wanaojiita WAZALENDO wa Nchi hii DEMOCRACY FREE AND FEAR ELECTION cjui Muhimili wa BUNGE MAHAKAMA hakuna CHOCHOTE unasoma inabaki vitabuni ukija field uchaguzi unavyofanyika utachoka mwenyewe
Ndio ninalijua mkuu. Na wewe unalijua somo la lazima la computer huko vyuoni?Unaijua GS? General Studies? Somo la lazima kwa A level?
Sielewe kwa sababu unaeleza matango pori badala ya facts na logicsNimechoka kukujibu Mana kila Nina yokuelekeza huelewi
You are totally out of context. Nimekusamehe bure tu mkuuWee mtoto usiongee Tena hvyo watu wakakusikia
Eti civics sio lelemama?????
Utakuwa slow learner weee
Ilaumesema mwenyewe elifeli masomo yote ukapata civics B
Sasa hesabu , phys na chemistry utasemaje Kama civ s so lele mama
Asante bro.Umejenga hoja mkuu, Hongera sana,
Inawezekana wewe ndiye Dr. Ndalichako mwenyewe. Who knows...Hata ndalichako amekusikia