Kwanini somo la Civics ndilo pekee ambalo haliundiwi combination "A" level katika masomo saba ya msingi Kidato cha Nne?

Kwanini somo la Civics ndilo pekee ambalo haliundiwi combination "A" level katika masomo saba ya msingi Kidato cha Nne?

Cheti chako Kama kina A ya civics tu na umekuja hapa I'll ndalichako akufikirie umepotea nenda karudie mtihani
Honestly speaking, nilipata B moja tu ya Civics katika matokeo yangu ya kidato cha nne mwaka 2003, kisha nikawa na D tano pamoja na F tatu
 
Wewe endeleza ubishi wako humu JF lakini wanaofaulu sana Civics wanapaswa kupewa uzito wa kipekee. Civics sio lelemama ndio maana wengi hawapati As
Wee mtoto usiongee Tena hvyo watu wakakusikia
Eti civics sio lelemama?????
Utakuwa slow learner weee

Ilaumesema mwenyewe elifeli masomo yote ukapata civics B

Sasa hesabu , phys na chemistry utasemaje Kama civ s so lele mama
 
Wee mtoto usiongee Tena hvyo watu wakakusikia
Eti civics sio lelemama?????
Utakuwa slow learner weee
Sawa mimi ninajikubali kuwa ni slow learner, sasa vp kuhusu wale ma-genius yanayopiga A za Civics? Kwanini wasipewe combinations zao?...
 
Kuna sehemu tunafeli kama taifa ndio maana wazi kama kina mbowe na lisu eti ndio wanasiasa simply watu hawajui elimu ya uraia vema
Ukisoma URAIA na ukija ktk mazingira halisi utaona jinsi gani tunavyodanganywa na Hawa wanaojiita WAZALENDO wa Nchi hii DEMOCRACY FREE AND FEAR ELECTION cjui Muhimili wa BUNGE MAHAKAMA hakuna CHOCHOTE unasoma inabaki vitabuni ukija field uchaguzi unavyofanyika utachoka mwenyewe
 
Sidhani km hiyo ni sababu
Sasa somo la civics Lina kitu gani Cha ajabu mpaka mwalimu was history au sayansi ashindwe kulifundisha
Wakati wenzetu wanasafiri kwenda kwenye mwezi
Wanatengeneza robots
Wanatengeneza ndege
Wanapandikiza ini ,moyo meno nk
Wanatengeneza simu sisi tunashangaa mwalimu was biology kufundisha civics

Kweli tutafika jaman!!!?
 
Kuna mwingine amesema somo la civics sio lelemama
Wakati wenzetu wana
Robotic process automation
Artificial intelligence
Intelligent apps nk

Sisi tunasema somo la civics sio lelemama

Yaani roho inaniuma Kama kweli tz tuna vichwa vya aina hii
 
Kuna mwingine amesema somo la civics sio lelemama
Wakati wenzetu wana
Robotic process automation
Artificial intelligence
Intelligent apps nk
Hao wenzetu wenye Robotic process automation, Artificial intelligence na Intelligent apps kumbuka pia wana somo la Civics plus diplomats wazuri...
 
Sasa somo la civics Lina kitu gani Cha ajabu mpaka mwalimu was history au sayansi ashindwe kulifundisha
Kama somo la Civics halina kitu chochote cha ajabu sasa mbona kuna wanafunzi bado wanapata alama F katika hilo somo husika?...
 
Hii TZ yetu iko Vagalant sana..Namba moja wetu kasoma Kemia ambayo ni mambo ya utaalam,anasimama jukwaani anasema Saddam Hussein ni rais wa Libya badala ya kubaki kwenye utaalam wake..BM Camillius mwanadiplomasia mbobevu nadhan atakuwa amesoma Civics na Political science tunamfukuza Uanachama kwenye chama chetu pendwa..Kigwa HK daktari wa binadamu tunampeleka Maliasili..Mwakyembe H pHD wa Sheria tunampeleka michezo sababu kashindwa kumdhibiti TAS kuwa don wa TLS..so kusoma hiki ili uje uwe hivi hapa bongoland ni kutimiza wajibu tu ila reality unakutana na vitu tofauti kabisa ktk uhalisia wa mambo..am sorry kama nimetoka nje ya mada
 
Back
Top Bottom