DreezyD98
JF-Expert Member
- Nov 6, 2020
- 1,610
- 2,874
Ingependeza kama wale wanaosoma BaEd huku wakichukua political science kama somo la kufundisha, wafundishe civics coz wanakuwa na knowledge ya kutosha kuliko kumforce mwalimu aliyesoma Kiswahili na English afundishe hili somo.Hata ukisoma definition NI
The study of the rights and duties of citizenship
Ndio Mana hata mwalimu was biology anaweza kufundisha civics
Au mwalimu was somo lolote