Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #41
Hii ndio hoja yangu kuu kwamba mbona halipewi uzito stahiki? Hata huko "A" level ukifaulu sana somo hili unapewa tu alama "S"...Civics kukosa kombi haimaanishi halina umuhimu au limepuuzwa, hii kitu imeathiri mtazamo wa wengi na kujisahau kulipa uzito stahili.