Bess
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 547
- 656
Civics ni somo la lazima kwa kila mwanafunzi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha 6, ikiwa na maana kwamba elimu ya uraia ina nafasi kubwa katika maendeleo na maisha ya mhitimu.
Elimu hii ya uraia inaelezwa kiutaalam na masomo mengine ya Arts na kidogo kwenye business subjects, civics inabaki kuelezea juu juu tu haki ya mtu kama raia wa nchi husika.
Sasa Ukibobea kwenye Civics ni sawa na kuogelea kwa shallow water kisha ukajipa cheti cha kujua kuogelea