AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
Civics A level ni general studies na chuo ni development studiee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini Geography na History ni hivyo hivyo kuanzia O Level, A Level mpaka chuo kikuuCivics A level ni general studies na chuo ni development studiee
Jean Yves Ollivier Discusses Diplomacy of Influence | Part 1 of 3
Jean Yves Ollivier talks being self taught and passion for settling conflicts and bringing about peace.
Jean Yves Ollivier, Secretary General of The Brazzaville Foundation for Peace and Conservation sat down with AFKInsider to discuss business and politics.
Source: AFKInsider
Mbona somo la computer linasomwa na wanafunzi wote huko vyuoni lakini wale wa ICT na Computer Science wanalisoma kwa undani zaidi? Kwanini Civics lisisomwe na wanafunzi wote lakini kuwe na combination ya wabobezi watakaolisoma kwa undani zaidi?Shule ya msingi - Uraia
O level - Civics
A level - General studies
University - Development studies.
Huoni ni somo lililopendelewa kwa kuwa compulsory kuanzia msingi mpaka chuo?
Na ukifeli somo hilo unaharibu ufaulu wa masomo mengine. Yani unaweza kuwa na three point three. A 3 za olevel na F ya GS we ni failure.
Inaonekana unawapenda sana CCM?Hahaha haya masomo ya ccm, wanapatia PhD zao.
Wanakosea sana mkuu. Wanaofaulu sana somo hili wanapaswa kuwa "Political Scientists" wa hapo baadae mkuu.
Computer inasomwa mwaka mmoja tu kama ilivyo DS, na miaka sawa kama zilivyo GS na Civics.... Sina shaka level ya chuo kuna wabobezi wa uraia na sheria nyinginezo...Mbona somo la computer linasomwa na wanafunzi wote huko vyuoni lakini wale wa ICT na Computer Science wanalisoma kwa undani zaidi? Kwanini Civics lisisomwe na wanafunzi wote lakini kuwe na combination ya wabobezi watakaolisoma kwa undani zaidi?
Hata mwaka wa pili Kuna Media and technologyComputer inasomwa mwaka mmoja tu kama ilivyo DS, na miaka sawa kama zilivyo GS na Civics.... Sina shaka level ya chuo kuna wabobezi wa uraia na sheria nyinginezo...
Ndio hivyo tena mzee babaHahaa, Kwamba jamaa alipiga civics A o'level na GS akapiga A
Hapana mkuu, bado ninapingana na wewe katika hili. Kuna uwezekano mwalimu wako alikuwa anafundisha shallow sana tofauti na inavyohitajika katika mtaala...Yap, Civics imeachiwa hizo concepts za juu juu tu pamoja na current issues. Huo umuhimu wake umebebwa na masomo mengine
Inategemea kozi unayosomaHata mwaka wa pili Kuna Media and technology
Hahaha hao ccm ni wadanganyika hata ukiwachukia haibadirishi kitu chochote.Inaonekana unawapenda sana CCM?
Sawa mkuuHahaha hao ccm ni wadanganyika hata ukiwachukia haibadirishi kitu chochote.
Lakini mantiki inabaki kuwa palepale kwamba somo hata kama linasomwa na watu wote, bado kuna nafasi ya wachache kulisoma kwa undani zaidi.Inategemea kozi unayosoma
Afadhali umenisaidia kumkumbushaHata mwaka wa pili Kuna Media and technology
Wakati inasomwa mwaka mmoja tu, kuna wengine ndani ya mwaka huo huo mmoja wanaisoma "in deep" kama wale programmers C++, Java, PHP...Computer inasomwa mwaka mmoja tu
Sio tu civics na masomo ya diplomasia mkuu, bali hata biology ya secondary na ile wanayosoma madakrati watarajiwa kule vyuoni kama vile Muhimbili hazifanani kwa maana ni levels mbili tofauti za elimu.Tafuta koz za diplomasia kisha uone civics inayosomwa sekondari ina percent ngapi
MhhhHahahaa
Kwanini kufundishana mara mbili mbili sasa?Taja hizo issues tuone kama haziko kwa somo lolote...
Utakayotaja nitakwambia ni somo gani limeeleza kwa kina hiyo issue unayoisema kinadhariA
Ninajua mkuu, lakini hawa wanaopata As za Civics tunawafanyaje kwa maana hawa ndio diplomats wetu...