Wanaofaulu sana civics wanapaswa kutazamwa kwa jicho la pili kama tunataka "Political Scientists" wazuri...
Hao wenzetu wenye Robotic process automation, Artificial intelligence na Intelligent apps kumbuka pia wana somo la Civics plus diplomats wazuri...
Mbona daktari bingwa hawezi kuwa mtu aliyesoma chochote isipokuwa somo la Biology secodary na akafaulu vema?Diplomat hasa wa ngazi za juu anaweza kuwa mtu aliyesoma kitu chochote.
Mbona daktari bingwa hawezi kuwa mtu aliyesoma chochote isipokuwa somo la Biology secodary na akafaulu vema?
Ninajua mkuu, lakini hawa wanaopata As za Civics tunawafanyaje kwa maana hawa ndio diplomats wetu...
Ninajua mkuu, lakini hawa wanaopata As za Civics tunawafanyaje kwa maana hawa ndio diplomats wetu...
Ninamkubali sana mzee Kijazi na asingekuwa engineer angekuwa balozi mzuri sana tena saaaana zaidi ya alivyo sasa. Kumbuka kuna balozi bora na bora baloziJohn Kijazi ambaye sasa ni Katibu mkuu ni engineer na amekuwa Balozi wa Tanzania kwa muda mrefu nchi mbalimbali.
Ninajua mkuu, lakini hawa wanaopata As za Civics tunawafanyaje kwa maana hawa ndio diplomats wetu...
Political Scientist/Diplomat gani hana exposure ya masuala ya kimataifa?The powers that be hata wewe kama wanakutaka kama diplomat wanakupeleka hapo kurasini chuo cha diplomasia unapigwa brush kwenye etiquettes na protocols mbili tatu unapewa kitengo.
Political Scientist/Diplomat gani hana exposure ya masuala ya kimataifa?