Crown / Brevis nalaza seat kabisa nienjoy trip.Crown je? 😀 😀
Interesting 😀😀😀 hapo inategemea na aina ya gari. Unakuta wengine mteru umewajaa, 140kph ya crown anaanza wenge.Kuna mshikaji humu alitoa story. Walikua wanatoka Mwanza gari private na wana kadhaa. Ulikua usiku kwahiyo hamna trafick wala jam sana njiani. Kule mjini mjini ilikua poa wanacheka sana kwenye gari kufika maporini dere anafuta kisaani akipunguza sana 100 labda kuwe na tuta.
Aisee gari zima kimyaaa hamna mtu alielala wala anaeongea. Wale wengine wakawa wanachat. Wakakubaliana waombe wasimame kwaajili ya aja ndogo.
Dere anasimama nae anaenda jisaidia anarudi anakuta kwenye siti amekaa mwana mwingine. Kumbe wajamaa wameshakunaliana uyu fala anataka kutuua uyu. Akishuka tu agusi gari tena.
Walilala Dodoma. Wakati jamaa aliwaambia asubuhi chai wanaenda kunywa Dar.
IST!!! Aisee nashuka 😆 siwezi kubet uhai wangu kwa kiasi hichoMimi na jirani yangu tulikuwa tunaenda Moshi na IST yake mwaka juzi. Alifuta kisahani japo ni very risky.
Wewe kama shemeji yako....ukiingurumisha mashine unamkata mtu anapata mzuka balaa!Interesting 😀😀😀 hapo inategemea na aina ya gari. Unakuta wengine mteru umewajaa, 140kph ya crown anaanza wenge.
Mwendokasi unaua, ila ni mtamu nyie acheni tu....
Kuna tofauti kubwa mno kati ya stock vs modified cars mkuu then huge % ya gari from singapore ni mikweche mara elfu ungeongelea kwinginekoIla gari hizo hizo za Japan zikiwa singapore zinakua na speed zaidi ya 180km/h mfano Subaru Forester ikiwa singapore inakua na 240km/h Lexus IS 200 ambayo ndo Toyota Altezza ikiwa singapore inakua na 240km/h
Kigari kilikuwa na watu wanne.IST!!! Aisee nashuka [emoji38] siwezi kubet uhai wangu kwa kiasi hicho
Kigari kilikuwa na watu wanne.
Jamaa alimaliza kisahani.
Unaona kabisa kinaanza kutingishika.
Mengi ya wajeruman hayafiki 230Wewe umetembelea gari za mjapani. Kacheck chuma za kijerumani cc 1600 speed 260 huku tatizo barabara haziruhusu na full matuta na hazijawa protected unaweza kuwa speed 120 unakuta mtu kaingia Road na kundi la ng'ombe
Gari zinafika ila hakuna stretch ya kutosha ya kukufanya ufike hiyo speed.Mengi ya wajeruman hayafiki 230
Ni speedometer wanaweka tu, machache sana ndo yanavuka 260 akina porshe na mengine mazuri,
Ukisoma speedometer ni tofauti na reality
Ni kama subaru Legacy inafika 233kmp uku speedometer inasoma 180, uku audi A4 ya 2008 ina top speed 204 speedometer inasoma 260, au range rover vogue mpya ina top speed ya 240 uku speedometer yake inasoma 280kmp, ko ni swala la sheria za nchi mama
Ushaambiwa top speed, maana yake kwenye stretch ya kutosha top speed yake ndo hyo, usipagawe na speedometer, ata mie naweza wekea pikipiki spedometer ya 250kphGari zinafika ila hakuna stretch ya kutosha ya kukufanya ufike hiyo speed.
Gari ipi ushawahi test isifike hiyo top speed ya speedometer?Ushaambiwa top speed, maana yake kwenye stretch ya kutosha top speed yake ndo hyo, usipagawe na speedometer, ata mie naweza wekea pikipiki spedometer ya 250kph
180km/h kwa barabara hizi.si utajikuta umetangulia mbele ya haki kabla ya kuchukuliwa na covidView attachment 1716134
Kwa swali lako tu inaonesha hujui kitu na wala hutak kuelewa, jibu ni simple, kuna speedometer ma top speed, ni vitu viwil tofautGari ipi ushawahi test isifike hiyo top speed ya speedometer?
Umeshajikanyaga vya kutosha.Kwa swali lako tu inaonesha hujui kitu na wala hutak kuelewa, jibu ni simple, kuna speedometer ma top speed, ni vitu viwil tofaut
Nilishawaambia humu khs hizo gari kutofikia hio top speed ya speedometer,wakaleta ubishi wa kidwanziKwa swali lako tu inaonesha hujui kitu na wala hutak kuelewa, jibu ni simple, kuna speedometer ma top speed, ni vitu viwil tofaut
Na autobahn haina strech ya kutosha?Gari zinafika ila hakuna stretch ya kutosha ya kukufanya ufike hiyo speed.
Gari yenye HP kuanzia ngapi inaweza gusa hiyo 320km/h ?Na autobahn haina strech ya kutosha?
Ingia hata youtube uangalie mfano golf gti na speedometer zake za 320km/h zinavyoishia 235km/h haisogei zaidi.
Inahitaji kujitoa ufahamu kwa gari yenye around hp 200's hapo kufikia top speed ya 320km/h yaani kwny hesabu za automobile hii kitu haipo.
Hiyo 320 ni gari chache zinafikaGari yenye HP kuanzia ngapi inaweza gusa hiyo 320km/h ?