Kwanini speed ni 180 km/h?

Kwanini speed ni 180 km/h?

Kuna mshikaji humu alitoa story. Walikua wanatoka Mwanza gari private na wana kadhaa. Ulikua usiku kwahiyo hamna trafick wala jam sana njiani. Kule mjini mjini ilikua poa wanacheka sana kwenye gari kufika maporini dere anafuta kisaani akipunguza sana 100 labda kuwe na tuta.

Aisee gari zima kimyaaa hamna mtu alielala wala anaeongea. Wale wengine wakawa wanachat. Wakakubaliana waombe wasimame kwaajili ya aja ndogo.

Dere anasimama nae anaenda jisaidia anarudi anakuta kwenye siti amekaa mwana mwingine. Kumbe wajamaa wameshakunaliana uyu fala anataka kutuua uyu. Akishuka tu agusi gari tena.

Walilala Dodoma. Wakati jamaa aliwaambia asubuhi chai wanaenda kunywa Dar.
Interesting 😀😀😀 hapo inategemea na aina ya gari. Unakuta wengine mteru umewajaa, 140kph ya crown anaanza wenge.

Mwendokasi unaua, ila ni mtamu nyie acheni tu....
 
Ila gari hizo hizo za Japan zikiwa singapore zinakua na speed zaidi ya 180km/h mfano Subaru Forester ikiwa singapore inakua na 240km/h Lexus IS 200 ambayo ndo Toyota Altezza ikiwa singapore inakua na 240km/h
Kuna tofauti kubwa mno kati ya stock vs modified cars mkuu then huge % ya gari from singapore ni mikweche mara elfu ungeongelea kwingineko
 
Kigari kilikuwa na watu wanne.

Jamaa alimaliza kisahani.

Unaona kabisa kinaanza kutingishika.

Hahaaha duh nyie abiria mlikua na iron balls... Mm buaana kwenye IST huwezi kuniendesha hivyo, labda niwaendeshe mimi speed hiyo, huwa najiamini mwenuewe kuliko mtu mwengine [emoji16]
 
Jamani mnisamee... Mimi nimgeni kabsa kwenye magari nataka kujua hyo 180km/h ina maana gani?
 
Wewe umetembelea gari za mjapani. Kacheck chuma za kijerumani cc 1600 speed 260 huku tatizo barabara haziruhusu na full matuta na hazijawa protected unaweza kuwa speed 120 unakuta mtu kaingia Road na kundi la ng'ombe
Mengi ya wajeruman hayafiki 230
Ni speedometer wanaweka tu, machache sana ndo yanavuka 260 akina porshe na mengine mazuri,
Ukisoma speedometer ni tofauti na reality
Ni kama subaru Legacy inafika 233kmp uku speedometer inasoma 180, uku audi A4 ya 2008 ina top speed 204 speedometer inasoma 260, au range rover vogue mpya ina top speed ya 240 uku speedometer yake inasoma 280kmp, ko ni swala la sheria za nchi mama
 
Gari zinafika ila hakuna stretch ya kutosha ya kukufanya ufike hiyo speed.
 
Ushaambiwa top speed, maana yake kwenye stretch ya kutosha top speed yake ndo hyo, usipagawe na speedometer, ata mie naweza wekea pikipiki spedometer ya 250kph
Gari ipi ushawahi test isifike hiyo top speed ya speedometer?
 
20210325_212736.jpg
 
Kwa swali lako tu inaonesha hujui kitu na wala hutak kuelewa, jibu ni simple, kuna speedometer ma top speed, ni vitu viwil tofaut
Umeshajikanyaga vya kutosha.

Kwaheri.
 
Gari zinafika ila hakuna stretch ya kutosha ya kukufanya ufike hiyo speed.
Na autobahn haina strech ya kutosha?

Ingia hata youtube uangalie mfano golf gti na speedometer zake za 320km/h zinavyoishia 235km/h haisogei zaidi.

Inahitaji kujitoa ufahamu kwa gari yenye around hp 200's hapo kufikia top speed ya 320km/h yaani kwny hesabu za automobile hii kitu haipo.
 
Gari yenye HP kuanzia ngapi inaweza gusa hiyo 320km/h ?
 
Back
Top Bottom