Kwanini speed ni 180 km/h?

Kwenye hesabu za automobiles hiyo haipo?
Sidhan kama upo sahihi!
Gari kama Porsche, Maybatch, Bugatti hizo zote zipo zina V12 ambazo top speed ni kati ya 300-400 kph!
'Inahitaji kujitoa ufahamu kwa gari yenye around hp 200's hapo kufikia top speed ya 320km/h'

Hio sentensi hapo juu umeielewa lkn?

Hizo Porsche,Maybatch,Bugatti zina 200HP?

Kabla ya kuendelea kubisha andika HP za hayo magari then ujiulize msingi wa hoja yako ni upi?
 
Hoja yako wewe ndo naijibu, huko juu ulidai kwanye soko la automobile, kitu ambacho SI KWELI
 
Nijibu Swali langu rahisi tu,Porsche,Maybatch,Bugatti zina HP ngapi?
Katika maelezo yako huko juu ulisema haipo katika soko la Automobile, jambo ambalo haliakisi ukweli!
Hatuko kubishana lakini lazima ukweli usemwe.
Hizo zote zina Hp kati ya 600 Maybatch, na Bughatti 900-1000, na huyo mnyama Porsche kati ya 600-700 kutegemea na annual improvement, ambayo siyo hoja hapa kuweka hizo list!
 

Umesema:

Maybatch 600HP

Bughatti 900-1000HP

Porsche kati ya 600-700HP

Na mimi hoja yangu ilisema

'Inahitaji kujitoa ufahamu kwa gari yenye around hp 200's hapo kufikia top speed ya 320km/h',yaani kwny hesabu za automobile hii kitu haipo.'

Kwa hio wewe unachobisha hapa ni nini?
 
Huyo Chaza anakaza ubongo hataki kuelewa [emoji28]
Ila atakuwa kashaelewa sema analeta ubishi kama wa Bavarian Motor works tu.
Wanabisha bila facts
 
Sawa
 
Nahisi hukufatilia mtililiko wa post za jamaa Torque vs HP . Ungefatilia ungepata point ya alichokuwa ana maanisha
 
Hapa barabara iliisha.....
 
Hapana. Vitu vya kawaida hivi hapa hapa Tz ila kwasababu wengi hizi gari wanazisoma mtandaoni ndio wanaona ajabu.
Kabisa mkuu japanese cars zimeharibu wengi siku wajaribu european cars walete mrejesho hapa
 
Hiyo inaitwa kufa au kupona.
 
Gari lolote la cc 1300-1500cc horse power above 90hp linafika vizuri tu 180kph....labda chini ya hapo like passo ndo zinaishia 160 hivi tena kwa shida,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…