strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Ndugai kuna kitu Wachina wamemuahidi laizma manake anaropoka ropoka sana kuhusu bandari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mataga lazima muolewe safari hiiMbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.
Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
29.03.2021Mbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.
Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
Huyu anaandikishwa 7Mbona umevurugwa sana mzee yaani inaonyesha dishi limeyumba
John Magufuli’s Net Worth
John Magufuli has a net worth of around $1 million and $5 million. According to the information
Bilioni sita hizo kazitowa wapi?
Nadhani sio Ndugai pekee yake [emoji115]
We umeamua kujitoa akili makusudi!? Chanjo na bandari ya Bagamoyo wapi na wapi?Mbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.
Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
Siku ukiacha kutumia kinyeo kufikiri utakuwa umejikomboa sana. Huyu Mbowe kwani alikutia mimba mbona unapenda kumtajataja kila pahala? Wacha ushoga.Mbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.
Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
lete bank statment ndio tujue ukweli uliosema mahali alipo weka na jina la bank. hata naweza kuwandika kuwa wewe uliiba pesa mamilion zipo bank kwa ujambazi
otakukart.com
Ndugai ni kichaa Kama alivyo kuwa magufuli tu.
Pia ana njaa kubwa iliyo panda na kutamalaki Hadi kichwani kwake