Kwanini Spika Ndugai anawapigia upatu Wachina bandari ya Bagamoyo? Achunguzwe kama hana akaunti ya Benki nje

Kwanini Spika Ndugai anawapigia upatu Wachina bandari ya Bagamoyo? Achunguzwe kama hana akaunti ya Benki nje

Ndugai anashida, hata Jina la soko liilloitwa ndugai hapo dodoma lingebadilishwa sbb anatia aibu. Yaani upendeleo tuliopewa na Mungu wa kijeografia wa kuwa na bandari tukizungukwa na nchi kibao tuwape wachina. Dharau kubwa Sana.
 
Huyu aliesema kuwa hata trein wanunue ziwe binafsi na akaponda biashara za wabunge za bodaboda

Hapo unaona kabisa jamaa he is loaded

Kama Bunge lunakuwa halina nguvu na kushindwa kumdhobiti mtu mmoja hapa kweli Katiba ni lazima
 
John Magufuli’s Net Worth​

John Magufuli has a net worth of around $1 million and $5 million. According to the information
Bilioni sita hizo kazitowa wapi?

Nadhani sio Ndugai pekee yake 👆
 
John Magufuli’s Net Worth​

John Magufuli has a net worth of around $1 million and $5 million. According to the information
Bilioni sita hizo kazitowa wapi?

Nadhani sio Ndugai pekee yake [emoji115]

lete bank statment ndio tujue ukweli uliosema mahali alipo weka na jina la bank. hata naweza kuwandika kuwa wewe uliiba pesa mamilion zipo bank kwa ujambazi
 
Mbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.

Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
We umeamua kujitoa akili makusudi!? Chanjo na bandari ya Bagamoyo wapi na wapi?
 
Mbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.

Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
Siku ukiacha kutumia kinyeo kufikiri utakuwa umejikomboa sana. Huyu Mbowe kwani alikutia mimba mbona unapenda kumtajataja kila pahala? Wacha ushoga.
 
Back
Top Bottom