vipi waliotunga kanuni za s/mitaaKwa nini usiwalalamikie waliotunga kanuni za uchaguzi ndani ya CHADEMA?
Yaani Kanuni za uchaguzi zinawaruhusu kufanya hivyo halafu wakifanya unaanza kuwalalamikia?
Huoni wenye tatizo ni wale waliotunga Kanuni za Uchaguzi ndani ya CHADEMA ndio maana baadhi ya watu ndani ya CHADEMA wamejirundikia vyeo kama vile hakuna wanachama wengine wa kushika nafasi hizo!
Hivi huwa unafikiri kabla ya kupostiWalidhani Mbowe ni kijito! Yule ni jito
Anayemweza Mbowe ni Magufuli tu
Walidhani Mbowe ni kijito! Yule ni jito
Anayemweza Mbowe ni Magufuli tu
hawakumnyang'anya wamemhifadhia, ili akamilishe mpango mkakati aliokuwa amepewa warudishe. Bahadi mbaya karata alizokua nazo ameanza kucheza majokel na yememuishia kabla game halijaisha.Nawashangaa sana hawa jamaa. Mbowe mwenyewe anatoka kanda ya kaskazini, hakugombea kule kwenye kanda, aliwaachia wengine. Sasa hawa wanaotaka kila mahali wawe viongozi sijui lengo lao ni nini. Ni muda tu, Mwambe ataondoka Chadema baada ya kubwagwa kwenye uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Taifa. Hata ningekuwa mimi mpiga kura singefanya majaribio ya kumpa mwana CCM aitwaye Mwambe. Upinzani siyo lelemama. Walizoea vya bure CCM. Angalia Sumaye anavyolilia mashamba yake aliyonyang'anywa na serikali baada ya kwenda Chadema.
Kutumia polisi na mahakamaWalidhani Mbowe ni kijito! Yule ni jito
Anayemweza Mbowe ni Magufuli tu
Sumaye na Mwambe ni wahanga wa “safisha safisha”. Hata itakuwa hivo kwa Nyalandu. Waliorejea CCM wengi walikuwa ni wale waliokuwa CCM kwanza. Hili lisisahaulike!!
Chadema wameona kuwa walikosea kuwakaribisha wanachama wa CCM mwaka 2015. Wamekubali kujisahihisha hata kama maana yake ni kuwatendea watu mambo yasiyo ya haki.
Walipaswa kueleza kwanini wanagombea nafasi mbili, je ni tamaa ya madaraka??
Hivyo ndivyo wananvyo waza viongozi wa chama kinachotaka kujiongezea wanachama wapya?Pandikizi lilikuwa linasubiri muda wa ku strike lakini likagonga mwamba sasa linarejea kwenda kubanana
Kuna tetesi kuwa wale wote waliohamia ccm kutoka upinzani watapigwa chini katika uchaguzi mkuu ujao kitu ambacho ni burudani tosha.
..ni kweli walichomfanyia siyo kitu kizuri hata kidogo.
..lakini sumaye angejipa muda wa kutafakari kabla ya kuchukua uamuzi huu.
..hata ccm ambako aliondoka alifanyiwa mizengwe ktk chaguzi zaidi ya moja.
Taswira mbaya utaiona wewe. Dr. Slaa alitoka upinzani baada ya kuona Lowasa na Sumaye wamekuja upinzani na kusena hawezi kukaa meza moja na MAFISADI, na akajihapiza kama Sumaye alivyojihapiza leo. Baadae akateuliwa, no i mean akaandaliwa press conference na watu wa TISS (huyu wa leo sijui amendaliwa na nani, ila barua ilisambaa ikiwa na nembo ya taifa), akapitia mlango wa uhani kuingia ndani, baadae Lowasa akarudi alipo Slaa, sijasikia akitata kutoka tena huko alipo. Ujagundua kitu au dhamira yoyote?Hivyo ndivyo wananvyo waza viongozi wa chama kinachotaka kujiongezea wanachama wapya?
Wanachama wapya lazima wasiwe wametokea chama kingine?
Kuna mambo tuyachukulie kwa uzito mkubwa sana na sio kishabiki au kitoto.
Kisa cha Mzee Sumaye kinajega taswira mbaya sana kwa mustakabali wa upinzani Tanzania, ukizingatia upinzani wanaenda kugawana wanachama 2020 na chaguzi zingine.
CC: JokaKuu
Hivyo ndivyo wananvyo waza viongozi wa chama kinachotaka kujiongezea wanachama wapya?
Wanachama wapya lazima wasiwe wametokea chama kingine?
Kuna mambo tuyachukulie kwa uzito mkubwa sana na sio kishabiki au kitoto.
Kisa cha Mzee Sumaye kinajega taswira mbaya sana kwa mustakabali wa upinzani Tanzania, ukizingatia upinzani wanaenda kugawana wanachama 2020 na chaguzi zingine.
CC: JokaKuu
Kama zipi Mkuu?MWakat chama cha kijan kinajtahd kusisitiza "kofia moja"
Kwa Mababa Wa 'Demoghasia' Tz bado kofia tatu zinavaliwa na bichwa mojaaaaa
Tundu Lisu anagombea umakamu mwenyekiti wakati anaishi Ulaya, fomu amejaza online, CHADEMA kuna vituko!
Hemu ifike sehemu muwe mnanielewa basi,nilishasema hivi kule CCM Kuna mtambo wa kuchakata akili za watu na operater wa ule mtambo ni Goodluck Mlinga mbunge wa Ulanga....alipata dharula Mlinga mtambo unashikiliwa na Lusinde Mara moja moja. Hemu mwangalie pole pole( chakubanga) walivyomchakata akili,hemu mwangalie Dr Bashiru walivyomchakata akili sipati picha wake za hawa jamaa wawili wanajisikieaje tangu waume zao wachakatwe akili.Unachangia hapa ili uonekane ni mjanja au unaishambulia cdm, kumbe ni mshamba fulani. Siku hizi kila kitu ni online, kuanzia kulipa Ankara za maji, umeme, malipo karibia yote ya serikali, Brela nk. Hapa ndio dunia ilipo. Kama bado unaishi kwenye dunia ya analogia wenzako walishatoka miaka mingi sana.