Kwanini taarifa nyingi za miaka elfu iliyopita ni za kubuni au hazijulikani kiuhalisia? Je, kuna kizazi kilipotea?

Kwanini taarifa nyingi za miaka elfu iliyopita ni za kubuni au hazijulikani kiuhalisia? Je, kuna kizazi kilipotea?

Chotara wa kiarabu na chotara wa kihindi atatokea nini?
hii kitu ni seriously mkuu,....waangalie watu kama Wamalaysia,... ni kama chotara wa kihindi na kichina,...si ajabu ni race ya karibuni na miaka kadhaa huko awali haikuwepo,....

Sasa fikiria chotara wa kizungu na African azae na Arabic,..then huyo mtoto akazae na chotara wa kichina na kihindi,..🤔,...vipi kuhusu vijukuu?...

nadhani ndo sababu wakazaliwa hawa,...POLYNESIANS
 
Binafs mambo yote yaliyo tokea kabla ya Yesu huwa naona ni uongo tu.
Hata hilo swala la kuniambia kua Yesu kazaliwa bila baba huwa sielewi kabisa, hasa ninapo soma kua huyo Maria alikua na mumuwe alie itwa Daudi.
Sasa je huyo Daudi alikua hambandui huyo Maria?

Kwakweli twende tuishi tu.
 
Hahahaaa....hili nalo watasema kuna kizazi kilipotea?
Mfano, BM na JK kuwa ni ndugu, hii si current kabisa ila mpaka sasa ni kama jambo lisilo na uhakika.

Au Mwinyi snr kuwa baba wa marais, haina uhakika ilhali ni jambo la juzi tu
 
Binafs mambo yote yaliyo tokea kabla ya Yesu huwa naona ni uongo tu.
Hata hilo swala la kuniambia kua Yesu kazaliwa bila baba huwa sielewi kabisa, hasa ninapo soma kua huyo Maria alikua na mumuwe alie itwa Daudi.
Sasa je huyo Daudi alikua hambandui huyo Maria?

Kwakweli twende tuishi tu.
kiongozi nini usichokielewa hapo? hujui huyo alikuwa bikra? hujui km yule mbaba alikuwa provider tu? na sio ilo tu yule hakufa kama sisi alipaa akapotelea huko juu mawinguni aka mbinguni
 
Habari na elimu muhimu za zamani zimefichwa na watu wachache, wanazitumia kwa manufaa yao.

Mfano Library of Alexander (Egypt) ilichomwa moto na wakaficha baadhi ya vitabu.

Mfano mwingine ni stargate iliyokuwa imefichwa na sadam husein, USA walipo vamia direct walienda kuichukua na kuipeleka kwao kwa matumizi yao binafsi.
Kama kawa lawama kwa Marekani.
 
una ushahidi wa haya?
 
Kama maandishi tu hubadilika maana toka kizazi hadi kizazi ndo ijekuwa maneno , kadri habari inavyozidi kwenda toka huyu kwenda kwa yule ndivyo inavyozidi kubadilika maana depending na uelewa wao.
 
Kwanza kabisa, elewa kuwa kitabu kitakatifu hata kimoja kilicholindwa isipokuwa Qur'an pekee.

Hakuna zaidi ya hicho kilichohifadhiwa mioyoni mwa watu wengi duniani, kinachosaomwa sana bila hata ya kukifunguwa na mpaka leo kipo kama kilivyoteremshwa.
We Kila sehemu ni Quran 2
 
Inasemekana Historia ya mwanadamu Ilifutwa yote kwenye mfumo wa DNA yetu na Kufanya DNA modification Na kuondoa Baadhi ya Genes..
min -me

Sikiliza hapa chini
 
Back
Top Bottom