hii kitu ni seriously mkuu,....waangalie watu kama Wamalaysia,... ni kama chotara wa kihindi na kichina,...si ajabu ni race ya karibuni na miaka kadhaa huko awali haikuwepo,....Chotara wa kiarabu na chotara wa kihindi atatokea nini?
Mfano, BM na JK kuwa ni ndugu, hii si current kabisa ila mpaka sasa ni kama jambo lisilo na uhakika.
Au Mwinyi snr kuwa baba wa marais, haina uhakika ilhali ni jambo la juzi tu
kiongozi nini usichokielewa hapo? hujui huyo alikuwa bikra? hujui km yule mbaba alikuwa provider tu? na sio ilo tu yule hakufa kama sisi alipaa akapotelea huko juu mawinguni aka mbinguniBinafs mambo yote yaliyo tokea kabla ya Yesu huwa naona ni uongo tu.
Hata hilo swala la kuniambia kua Yesu kazaliwa bila baba huwa sielewi kabisa, hasa ninapo soma kua huyo Maria alikua na mumuwe alie itwa Daudi.
Sasa je huyo Daudi alikua hambandui huyo Maria?
Kwakweli twende tuishi tu.
mkuu punguza mlalo tujenge nchi kwnzaNgoja niamke kwanza mkuu
Wewe na mimi tupo hivi 🤞 🤞 🤞mkuu punguza mlalo tujenge nchi kwnza
Kama kawa lawama kwa Marekani.Habari na elimu muhimu za zamani zimefichwa na watu wachache, wanazitumia kwa manufaa yao.
Mfano Library of Alexander (Egypt) ilichomwa moto na wakaficha baadhi ya vitabu.
Mfano mwingine ni stargate iliyokuwa imefichwa na sadam husein, USA walipo vamia direct walienda kuichukua na kuipeleka kwao kwa matumizi yao binafsi.
United States of America is the Demon of the worldKama kawa lawama kwa Marekani.
una ushahidi wa haya?Habari na elimu muhimu za zamani zimefichwa na watu wachache, wanazitumia kwa manufaa yao.
Mfano Library of Alexander (Egypt) ilichomwa moto na wakaficha baadhi ya vitabu.
Mfano mwingine ni stargate iliyokuwa imefichwa na sadam husein, USA walipo vamia direct walienda kuichukua na kuipeleka kwao kwa matumizi yao binafsi.
akifa si anakua ameshasimulia kwa wengineupo sawa kiongozi. sisi tulitegemea zaidi masimulizi. historia zikitunzwa vichwani mwa watu na wakisimuliana kwa vizazi hata vizazi. shida sasa akifa huyo mwenye historia shughuli inaishia apo.
We Kila sehemu ni Quran 2Kwanza kabisa, elewa kuwa kitabu kitakatifu hata kimoja kilicholindwa isipokuwa Qur'an pekee.
Hakuna zaidi ya hicho kilichohifadhiwa mioyoni mwa watu wengi duniani, kinachosaomwa sana bila hata ya kukifunguwa na mpaka leo kipo kama kilivyoteremshwa.
doh😲Kuna kizazi kilipita Cha vilaza tupuuu, nadhani hapo ndipo shida ilianzia.