Ukipewa kazi Maalum ya ku deal na VIP...Kuinyofoa imenisikitisha.. Hii inamanisha kifo chake sio cha kawaida
AsalKEx Spy tunakutegemea kwa taarifa
Jamaa kama wamezoea kunywa damu za watu sasa, yani ukileta fyoko wanakula kichwaa hata kama hukuwa na nia mbayaIma ndiyo maana kaamua kustafu siasa kaona ni ujinga tu kuuana uana tu atauwa wangapi sasa.
Ndio ma spy wa bara la giza mkuu.Spy ana balaa. Spy wa kurasa za IG
Alionja Chakula ambacho alikuwa kaandaliwa NCHIMBIEx Spy tunakutegemea kwa taarifa
Mbona Babu Paulo aliwapoteza kizembe zamani 😭????Wagalatia wenzetu wanapotezwa hivi hivi tu kizembe? Hii haikubaliki.
gallow bird Tanganian Makebo Kubwa la Maadui Malaria 2 Jagina mdogoee
Baada ya kuua ua kwanza na yeye eti!!??Na wanamvizia sana tu na yeye na anajua...Life Survival yake ni fupiIma ndiyo maana kaamua kustafu siasa kaona ni ujinga tu kuuana uana tu atauwa wangapi sasa.
Ofisi ya Makamu wa Rais ilitangaza msiba wa mtumishi wake, Bi. Kulwa L. Ngusa, aliyekuwa akihudumu kama Mpishi katika Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kulwa alifariki dunia Agosti 21, 2026, majira ya saa 12:00 jioni katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, alipokuwa akipatiwa matibabu.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa taratibu za mazishi zinaendelea kuratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na familia ya marehemu. Uongozi na wafanyakazi wa ofisi hiyo wametoa pole kwa familia, ndugu, na jamaa walioguswa na msiba huo.
Sasa, taarifa hiyo imenyofolewa kwenye kurasa za Mitandao ya Kijamii za Ofisi hiyo; ni kuwa amefufuka?
View attachment 3656608