Labda wewe , huyo Nyerere si mnamwita Baba yenu?Toa neno si sema ali
Hakuna alietaka
Labda wewe , huyo Nyerere si mnamwita Baba yenu?Toa neno si sema ali
Hakuna alietaka
Kwa nini kuandaliwa hana Mke , ukisikia story ya Mama wa Taifa Mama Nyerere ,anasea Mwalim alikua anakula kwake , na mzee alikua anapiga fegi kabla akaja kuacha , why pikiwa wakati upo na familia yako , yani kuwa kiongozi basi maisha yabadilike nyumbani kwangu ,ndio upo utaratibu wa kiusalama kwa kiongozi ila je huo utaratibu hauwezi kufanyika nyumbani kwangu ? Msilete Taharuki kama kweli basi tupo watu wa hovyo , kisa mie kiongozi basi familia yangu wanangu sili chakula pamoja .Ukubali
Ukatae
Kifo ni halali yako!
Watajiridhishaje hutatoa siri baada ya kutekeleza?
Tayari wewe utakuwa ni Ndugu Maana hizo taarifa ulizotoa si za kawaidaWatu upenda Umbeya sana
Hakuna taarifa kutoka kwa Ndugu yoyote kulalamikia kifo cha Ndugu yao
wenyewe ndugu
wameuguza miez 2 👈
Lkn wambeya Wapotoshaji wanataka kuambatanisha na kujiuzulu kwa Emanuel Nchimbi
itakuwa alikuwa ametagetiwa mwenye nyumbaShare na sisi
Safi sana mkuu, namshukuru Mungu miaka inakatikaMzee habari za miaka mingi