Kwanini taarifa za kifo cha Mpishi wa Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais zimefichwa?

Kwanini taarifa za kifo cha Mpishi wa Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais zimefichwa?

Ukipewa kazi Maalum ya ku deal na VIP...
Ukaikwepa wanaondoka na wewe...

Sio lazima iwe hivyo...ila mara nyingi ni hivyo...unafuatwa ..Fanya hivi na hivi ...ukikataa maana yake utavujisha Siri...yaani maana yake umekwenda na maji... Bora kukubali..Kisha utajua Cha kufanya huko mbele kama hutaki..au kimbia nchi...kabisa
Ukubali

Ukatae

Kifo ni halali yako!

Watajiridhishaje hutatoa siri baada ya kutekeleza?
 
Attempted assassination ya Nchimbi.
Wengine wanasema mpishi alitamka kumwekea simu Nchimbi walinzi wa Nchimbi wakamstukia.

Wengine wanasema alipewa sumu kumwekea Nchimbi akagoma. Wale watu wakaikoroga hiyo sumu wakamlisha.

Haijulikani nani anasema kweli.

Hapa inaonekana mtu alitamka kumuua Nchimbi Kwa sumu lakini alitekufa siyo Nchimbi.

Worst case scenario hapa ni kwamba watu wanaweza kubeba bunduki wakaanza kuwindana.

Allah asipotuongoza tutakuwa miongoni mwa waliopotea
Asalam aleikum.......inshalah
 
Ndio ma spy wa bara la giza mkuu.
Wanachekesha sana Hawa spies wa bara la giza yaani umbea kwao ndo wanauona espionage.

Ukisoma vitabu kama billion dollar spy , mossad na kina Kim Philby unaona kabisa Hawa kuwaita spies ni kulikosea heshima neno spy.

Hawa ni askari kanzu mamaee zao
Hahahahahaaaaa 😆😆😅😅
 
Ukipewa kazi Maalum ya ku deal na VIP...
Ukaikwepa wanaondoka na wewe...

Sio lazima iwe hivyo...ila mara nyingi ni hivyo...unafuatwa ..Fanya hivi na hivi ...ukikataa maana yake utavujisha Siri...yaani maana yake umekwenda na maji... Bora kukubali..Kisha utajua Cha kufanya huko mbele kama hutaki..au kimbia nchi...kabisa
Mkuu ngarob rudisha ile avatar picha yako ya tom and Jerry ana sura ya kukasirika.
 
Ofisi ya Makamu wa Rais ilitangaza msiba wa mtumishi wake, Bi. Kulwa L. Ngusa, aliyekuwa akihudumu kama Mpishi katika Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kulwa alifariki dunia Agosti 21, 2026, majira ya saa 12:00 jioni katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, alipokuwa akipatiwa matibabu.

Taarifa hiyo ilieleza kuwa taratibu za mazishi zinaendelea kuratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na familia ya marehemu. Uongozi na wafanyakazi wa ofisi hiyo wametoa pole kwa familia, ndugu, na jamaa walioguswa na msiba huo.

Sasa, taarifa hiyo imenyofolewa kwenye kurasa za Mitandao ya Kijamii za Ofisi hiyo; ni kuwa amefufuka?

View attachment 3656608
CCM ni wauaji, na hawataacha kuua na kuficha mauaji
 
Halafu Hawa makuma wanatuonaga makuma kweli kweli Yani..hua nacheka sana...Mpishi kwenye ofisi anakufa..hata siku tatu hazijaisha aliekua anampikia anajiuzulu
 
Watu upenda Umbeya sana

Hakuna taarifa kutoka kwa Ndugu yoyote kulalamikia kifo cha Ndugu yao

Mwenyewe ndugu
wameuguza miez 2 👈

Lkn wambeya Wapotoshaji wanataka kuambatanisha na kujiuzulu kwa Emanuel Nchimbi
Kama nimemuelewa vizuri au tofauti mleta mada anasema kwanini taarifa hizo zimenyofolewa kutoka zilipowekwa mtandaoni?
 
Back
Top Bottom