Kwanini taarifa za kifo cha Mpishi wa Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais zimefichwa?

Kama nimemuelewa vizuri au tofauti mleta mada anasema kwanini taarifa hizo zimenyofolewa kutoka zilipowekwa mtandaoni?

Majibu yangu ya juu pale👆

Uwekaji majina kwenye mfumo kuna
Taratibu zake

Unaweka kifo siku iyo kimetokea au baada ya Siku 1 kutokea kifo✅️

Sasa kifo kina 1week sasa ndio unaweka kwenye Mfumo
Lengo lako nini!!

Kama sio kuongeza Wasiwasi kwa Jamii yetu✍️
 
Kimefichwa na nani? Kwa akili yako kwa siku wanakufa watumishi wangapi? Vyombo vya habari vina vipaumbele vyao ktk hbr za kutangaza.
Hata wewe ungetangaza! Mpishi ni mtu mdogo tu labda km mnaunganisha na Nchimbi kustaafu.
 
Kama zimefichwa wewe umezijuaje?
 
Ya ofisi binafsi yanamhusu nini msemaji wa ofisi ya Makamu wa Rais

Huyu ni mtu wake binafsi. Nadhani yangekwenda kifamilia zaidi
 
Kufa sisi sote tutapitia sasa shida ni nini.mnataka kutuaminisha kuwa kahawa au!nyingi maccm mna roho mbaya kama lilivyo kichama lenu.kosa ni nini kujiuzuru umakamu!
 
Watu upenda Umbeya sana

Hakuna taarifa kutoka kwa Ndugu yoyote kulalamikia kifo cha Ndugu yao

wenyewe ndugu
wameuguza miez 2 👈

Lkn wambeya Wapotoshaji wanataka kuambatanisha na kujiuzulu kwa Emanuel Nchimbi
Sawa ndugu wameuguza miezi 2, na hakuna alieshangaa kwa sababu kifo ni njia yetu wote. Lakini kwanini hiyo taarifa jana imeondolewa ktk official page za ofisi ya Makamu wa Rais?
 
Alishindwa kutekeleza maagizo ya wauawaji...ikabidi whuwahi kabla hajasanua mchongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…