Kwa nini kuandaliwa hana Mke , ukisikia story ya Mama wa Taifa Mama Nyerere ,anasea Mwalim alikua anakula kwake , na mzee alikua anapiga fegi kabla akaja kuacha , why pikiwa wakati upo na familia yako , yani kuwa kiongozi basi maisha yabadilike nyumbani kwangu ,ndio upo utaratibu wa kiusalama kwa kiongozi ila je huo utaratibu hauwezi kufanyika nyumbani kwangu ? Msilete Taharuki kama kweli basi tupo watu wa hovyo , kisa mie kiongozi basi familia yangu wanangu sili chakula pamoja .