Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hii taasisi ya Legal and Human Rights Centre (LHRC) ilikuwa maarufu sana enzi ikiwa chini ya Helen Kijo-Bisimba lakini tangu aondoke ni kama haisikiki tena kwenye mambo makubwa na mazito ya kitaifa, mara ya mwisho niliwasikia wanampa karipio Oscar Oscar wa Kaliua kuhusiana na memes zake zinazohusu mambo ya wanawake.
Soma pia: LHRC yalaani Ukatili aliofanyiwa Edgar Mwakalebela (Sativa)
Soma pia: LHRC yamuonya Makonda kwa kauli zake za kidhalilishaji, yamtaka aombe radhi
Soma pia: LHRC yalaani Ukatili aliofanyiwa Edgar Mwakalebela (Sativa)
Soma pia: LHRC yamuonya Makonda kwa kauli zake za kidhalilishaji, yamtaka aombe radhi