Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Aug 3, 2024 #1 Hii taasisi ya Legal and Human Rights Centre (LHRC) ilikuwa maarufu sana enzi ikiwa chini ya Helen Kijo-Bisimba lakini tangu aondoke ni kama haisikiki tena kwenye mambo makubwa na mazito ya kitaifa, mara ya mwisho niliwasikia wanampa karipio Oscar Oscar wa Kaliua kuhusiana na memes zake zinazohusu mambo ya wanawake. Soma pia: LHRC yalaani Ukatili aliofanyiwa Edgar Mwakalebela (Sativa) Soma pia: LHRC yamuonya Makonda kwa kauli zake za kidhalilishaji, yamtaka aombe radhi
Hii taasisi ya Legal and Human Rights Centre (LHRC) ilikuwa maarufu sana enzi ikiwa chini ya Helen Kijo-Bisimba lakini tangu aondoke ni kama haisikiki tena kwenye mambo makubwa na mazito ya kitaifa, mara ya mwisho niliwasikia wanampa karipio Oscar Oscar wa Kaliua kuhusiana na memes zake zinazohusu mambo ya wanawake. Soma pia: LHRC yalaani Ukatili aliofanyiwa Edgar Mwakalebela (Sativa) Soma pia: LHRC yamuonya Makonda kwa kauli zake za kidhalilishaji, yamtaka aombe radhi
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 3, 2024 #2 Ipo hapo Kijitonyama 😃
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 6,716 Reaction score 12,116 Aug 3, 2024 #3 Wamelamba asali ya Samia